@ahmed__ally Poleni,Leo mmeingia kwenye mfumo wa mpinzani wenu wa jadi,siku zote kwenye mpira ukiingia kwenye mfumo wa mpinzani kuchezea kipigo kama hicho ni kawaida
@fumbokhanJr Siku zote kwenye mpira ikiingia kwenye mfumo wa timu pinzani,kupokea kipigo kama hicho inakuwa kawaida,man u aliingia kwenye mfumo wa liver mwisho wa siku alikula 7
@FKihamu Kuna watu watasema ni Bora Kwa kuwa yuko kwenye timu yenye bajeti kubwa,lkn kiukweli Chelsea Iko hapo Ina bajeti kubwa ila Iko katikati ya ligi