@JamiiForums Hii miaka 5 hadi 2030 ni ngumu sana kwa hili taifa kufanya maendeleo kwa sababu nguvu na Resource nyingi zinatumika kukandamiza wapinzani na wakosoaji.yaan Ccm ndo wameifanya ndo agenda yao kuu huku wakituibia hazina na utajiri wetu kama taifa,
@HecheJohn Hii ishu ya mafuta ianzishwe petition tuwashtaki hawa majizi kwa international courts, hawa mbwa wana roho mbaya walafi ,wauwaji,ni kansa tusipowatoa watavuruga kila mahali
@HecheJohn Kaka heche hakuna namna tunaweza kuwashtaki hawa kwenye international courts kwa kutuchaj overprice, kwa sababu viongozi wanafurahia bei kuwa juu ,hili tulisimamie sisi wananchi wenyewe
@bohny_chengula Fatilia karibu kila mkoa wanaweka mall zao,wanauza kila kitu unachokijua,hzo bei zao zilivopoa , wafanyabiashara wa ndani wanapumulia mashine,watafunga baishara na serikal itakosa kodi zao
@bohny_chengula Wachina wajanja sana wanabana viza zao huku flow yao kwetu inaongezeka ili watudominate sokoni, na kutengeneza profit from the last consumer straight, uku wanatuulia chain of supply, serikal yetu kwa sababu sio wafanyabiashara wamelala hawaelewi ata hasara zake ni zipi