Kuna mengine tunayapanga na kuna mengine maisha yanatupangia. Tunayoyapanga tunaweza kuyapangua, tunayopangiwa na maisha, yanatupangua.
Maisha yakikupangua, panguka. Kupanguka ni fursa ya kupanga upya na kujipanga pia.
Good morning hustlers 🙏🏾
Katika biashara pasua kichwa ni ya chakula, kuna muda inabidi ubalance kati ya kuwafurahisha wateja na kutengeneza faida, ukizidisha kimoja wapo umefeli.
1. Omba — lakini fanya kazi.
2. Amini — lakini jitume.
3. Subiri — lakini usilale.
4. Vumilia — lakini usiache.
5. Mungu hubariki wanaoendelea.
Good Morning
While other Bros are bossing huko nje,
Kuna wewe unakazi ya kupambania wanawake na kugawa pesa unayopata kwa kugawana na wanawake.
Haujui una malengo gani katika haya maisha.
Unalia kila siku kwamba haupendwi, lakini haulii kwamba hauna kipato wala pesa.
Unataka kuwa mtu wa fashion kila siku lakini hauna balance hata ya laki kwenye account.
Pesa unayopata inapitilia kwenye kula, kuvaa na kufanya mapenzi.
Unaona demu ni wa thamani kuliko maandalizi ya maisha yako ya miaka 20-30 ijayo.
Prosper ni nani akupangie maisha? Enjoy brother.
Riziki anagawa Mungu na kila mwanadamu hapa duniani ana wakati wake wakuipata, ila huo wakati ukifika basi tunza hela, fanya maendeleo, kama ni kujenga sijui viwanja nunua, huu muda ukipita ningejua yake ni mpaka unaingia kaburini.
Vijana wengi sikuhizi hatuishi.
Tunaishi kupambana tuishi.
Unaanza kupambana shule ufauru.
Unamaliza unapambana mtaani kupata ajira.
Unajiajiri au kuajiriwa unapambania maisha.
Unajikuta maisha hauyaishi unaishia kupambana kuishi.
Kupambana kuishi ndio mazingira makubwa ya waajiriwa, waliojiajiri na waka collect shits together somehow kuna muda wanaishi maisha.
Ila, maish yetu hayawezikuwa ya raha kama tutaendelea kupambania kuishi zaidi katika muda wetu wa uhai.
MADINI huchimbwa na huchimbwa kwa gharama kubwa. Na gharama hizo ni:-
1. Muda
2. Fedha
3. Kujifunza
4. Kupoteza
5. Kuvumilia
6. Kupambania
Hayo mambo huleta kitu kinaitwa EXPERIENCE! Ambapo mtu akishea Experience huitwa MADINI
Usione mtu anaongea MADINI, Ujue AMEKULA GHARAMA!
Daima uwe tayari Kuishi peke yako
Baadhi ya Watu hubadilika Ghafla
Leo wewe ni muhimu kwao,Lkn kesho hutakua kitu chochote kwao,Huo ndio Uhalisia wa Maisha
Usiruhusu Mabadiliko yao yakubadilishe wewe kua Mtu usiemtambua
Jenga Thamani yako bila kutegemea kuthibitishwa na wengine
Kila mwanaume anaamini Kuna siku moja atapiga deal moja litakalobadilisha historia nzima ya kizazi chake..
Anaweza asikwambie hilo, ila akilini mwake anawaza deal hilo.. Nani anajali..??!
Ukitaka kuteseka zaidi ya mfungwa wa gereza la Malinovsky lililopo Russia kwa hapa Tanzania. Oa mwanamke masikini anayetoka familia masikini asiye na bikra
Unavyozidi ku consume chakula,ndivyo utanenepa,unavyozidi kutumia vilevi ndivyo unavyokua Mlevi,unavyozidi kufanya mazoezi ndivyo unavyozidi kuimarika kimwili na kiakili,unavyozidi kulinda amani yako ndivyo unapata utulivu wa nafsi.
Imagine unavyozidi kusoma neno la Mungu.🙌🏼