@_zack255@kenyasgossips Kama ndo Umeandika hivi, na Ukiwa 100%, unaAmini ndo sahihi, aisee Nenda shule, b'coz umePreach kitu Cha KiChekechea mno, kama Umeandika kutease/kutwist in political writing, still bado, na hizi jumbe zenu kama hizi, zipeleke platform ingine, au jamii ya chama Chako(awanaga brain
@mafolebaraka tatizo Katiba ya Mwalimu Nyerere, ndo inajaribu kututoa hapa tulipo kwenda sehemu ingine, kiti naamini, it is no longer a stuff to make us tunavyo tamani, wabunge wa kusoma na Kuandika tu, na anakunja 14m per month, na anaongea shits! Shule Muhimu sana
@godbless_lema Bro you made it, CLEAN. kama atapita hapa, akasoma ataelewa, na kama akuwa anaManisha ulichokiandika Bro, basi atapata a new insight juu ya hili mambo!
@IAMartin_ Solution kubwa, ni Katiba Mpya. Katiba ya Mwalimu Nyerere, inatumika till Leo! Kuna namna Reforms zifanyike! Itapendeza Kwa Manufaa ya Wote, Wananchi!
@MsigwaGerson Boss G, bila VPN watu awaingii humu, ni kama mmepunguza audience/wananchi walengwa Ili kuruhusu kuona na kusoma Taarifa mnazotupa! TunaOmba mtufungulie tutumie Mheshimiwa.