@ngogo19276@INFLUENCERjr Upumbavu wao ni nini?wao wanataka kihongosi ajue profile yake ni ndogo kwa warioba, rudia kusikiliza mazungumzo, acha kukurupuka
@RichardMar36114 @Savajanjaro Mtu saa 10 alfajiri anaokota nazi kwenye fensi ya mtu huyo ni mwizi Mwakinyo kaamka baada ya mbwa kupiga kelele, mtu mwenyewe anajitetea kama si mgonjwa oh niliokota nazi nikazifungia kwenye shati, nani alitungua nazi je saa 10 unaenda kazini na nazi?
@ze_mandevu Aisle huyu mama apewe maua yake kipindi kile akiwa kinondoni ukiwa na shida kituo cha polisi kama kuna longolongo anaimaliza chap na watu wanapewa warning za kutosha.
@MariaSTsehai@TunduALissu@HecheJohn@rose_mayemba Mambo yashapita mnaanza majungu ni muda wa kazi sasa hakuna kuangalia ni wapi ulijikwaa ni kusonga mbele,hizi kelele za fulani kafanya haya hayana mama tena ,hivyo ni visasi mnatengeneza bila sababu yeyote ni muda wa kupambana na ccm acheni porojo.
@godbless_lema Lema mbona umekuwa mamluki gafla siri za ndani kuweka hadharani siyo kumaliza tatizo,mnatakiwa mkae myajenge,kwani ccm haya mambo hayapo?wanamaliza wenyewe na mambo yanaendelea,hii ni hatari sana mmeanza vizuri sasa mnabomoa