Pray for @Pontifex Francis, a good servant of God as he lay in pain with illness. We invoke St. Padre Pio in praying that the fire of Lord’s healing love pass through his servant’s entire body.
In 1999, Kaunda was stranded in Austria. The Zambian Embassy refused to help & claimed he wasn’t Zambian. Nujoma instructed the Namibian Embassy to look for Kaunda. They found & helped him. Few months later, Kaunda lived with Nujoma at the Old Namibian State House in Windhoek !!!
@OlengurumwaO Ikifuatilia history hao si raia wa DRC …
Wanasema ikita kumjua mwenye mbwa mtwange jiwe mmiliki atajiyokeza . Mmiliki Ndiyo huyo unamuona mara zote anagombana na marais wenzake juu ya masuala ya nchi jirani
Biashara ya darasani/mtandaoni ni nzuri sana ila ukiingia kwenye uhalisia mambo ni tofauti sana
Sikatishi tamaa wanaotaka kuifanya ila wafanye wakijua kuna changamoto. Siku zote hakuna mwanzo mwepesi.
Bro, najua hiyo Tshs 8,000,000/= unawaza kununua VITS ili ionekane umenunua gari. Ni kiasi kidogo, Lkn kinaweza kubadili maisha yako. Uki-invest vizuri inaweza kukuingizia 58M for 2yrs ONLY.
Nisikilize, achana na gari, hebu tuiweke ktk biashara within short time uone mafanikio👇
Uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti @ChademaTz umeonyesha ni kiasi gani sisi Watz tunahitaji somo la Demokrasia
Watu wanataka mtu asigombee kwa madai Akigombea ni dikteta. Unajiuliza udkteta umepata maana mpya?!!
Vema umeanza kuwachukulia hatua wanaotumia lugha zisizo na shaha
Vipi kwa wanachama ambao si viongozi ambao ukipita kwa page zao wanatoa tuhuma za uongo na lugha ngumu kuliko hizo za Ntobi nao wanachukuliwa hatua na ngazi ipi?
Kwa namna Lissu alivyozungumzia changamoto za Chama ambazo yeye kama Makamu mwenyekiti Taifa ameshindwa kuzitatua; basi kuna mawili;
1. Au Lissu ni dhaifu sana, na hana uwezo wa kutatua changamoto hizo!
2. Ama Chadema ina mifumo dhaifu sana ya kiuongozi na kiutendaji.
Ndugu yako au rafiki yako amekuja nyumbani kama mgeni na hauwezi kumsachi wala kumkagua , kumbe ktk begi lake amebeba madawa ya kulevya , Polisi wanavamia wanakuta madawa kwako kwenye chumba cha wageni, halafu unaporwa nyumba yako. Mihemko ktk utunzi au utendaji wa sheria ni hatari sana. Mnapanga kumfilisi nani na kumfunga ?
POLENI WAHANGA WA GHOROFA lililoanguka ila Ujenzi wa maorofa Kariakoo. NI JANGA KAMA LA JANGWANI.
Kwa sheria za mipango miji ilitakiwa viwanja 4 vya high density viunganishwe mbele na nyuma kipatikane kiwanja kimoja kikubwa cha kujenga orofa imara yenye basement kubwa kupaki magari. Orofa inayofunguka kwenye mtaa wa mbele na nyuma. Awali katika awamu ya Tatu Ushauri huo wa watalaamu wa mipango miji ulishapuuzwa na viongozi kwa presha ya wawekezaji kwa hiyo maorofa Kariakoo na kwingineko yanajengwa kiholela kwenye viwanja visivyokidhi vigezo. Pamoja na madhaifu ya usimamizi wa UJENZI KIUHANDISI Ni vigumu majengo kuwa imara bila kuwa na eneo la kutosha kujenga kitako yaani base foundation stahiki. Naendelea kuhimiza kurekebisha kosa hilo.
Sasa tunavuna hasara kubwa ya upotevu wa mali.. na maisha na fursa za ajira na aibu ya kushindwa kusimamia viwango vya ujenzi Miaka 63 baada ya uhuru.. Tuwaombee wahanga auheni na waliopoteza maisha pumziko la milele.
Naendelea kushauri viwango vya vertical development vizingatiwe kuanzia sasa. Tujisahihishe.