@EdwardF56802683@Japhetmmbaga3@MariaSTsehai At the end of the day, serikali ni mimi wewe na yule 😊 tukisubiri uongozi ufanye kitu tutakua tunafeli 😣 Safari bado ndefu sana🤦🏽♀️
@Japhetmmbaga3@EdwardF56802683@MariaSTsehai Sisi ni mashahidi tosha, tunaona mimba zinavyowaendesha watu wazima... imagine ni mtoto sasa 12 yrs labda, na bado shule.. akili ya kitoto kuna kuchekwa na kutengwa darasani mana anaonekana “malaya” bado unategemea huyu mtoto afaulu serious????
@Japhetmmbaga3@EdwardF56802683@MariaSTsehai Kwaio tunasubiri hadi hali iwe mbaya zaidi..? Mama mjamzito ni “special group” anahitaji “special care” kwa mazingira ya shule tena huko vijijni nani anampa hiyo care? Ikiruhusiwa hii basi Mtoto huyu MJAMZITO apate huduma zote stahiki kama mjazmzito.. deal?
@Japhetmmbaga3@EdwardF56802683@MariaSTsehai Hii nguvu inayotumika kuwarudisha shule,itumike kutoa elimu (precaution). Mimba ni zaidi ya kuwa na tumbo kubwa.Mtoto anakua psychologically affected,ts a torture. Bado mabadiliko ya mwili pia.Mtoto ni Mtoto hawezi kuwa mama.anatolewa darasani kwa faida yake
@Japhetmmbaga3@EdwardF56802683@MariaSTsehai Mimi ni binti pia. Ukiachana na mitandaoni na mikoa kama DSM, huko kwengine hakuna kitu, juzi nilikua hapo tu miembe saba S/Msingi bagamoyo.. mabinti hawafahamu haya mambo, imagine its bagamoyo, huko ndani ndani je? Jamii haielewi jamani 🤦🏽♀️
@jenniewtf27 Madhara ya kuendelea kubaki shulen ni makubwa kuliko faida.Watu wataona it’s okay kupata mimba bila kujua athari zake.Maeneo mengi watoto hawa wadogo hawana ufahamu kuhusiana na haya mambo.uzito uwekwe kwenye kuwaelimisha na kuwawajibisha wahusika sio kutetea
@EdwardF56802683@MariaSTsehai On top of that, mimba za utotoni huchangia sana kupata saratani ya shingo ya kizazi ambayo imekua ni tatizo sana kwenye jamii.. gratefully kuna chanjo zimeanza kutolewa lkn hii sio ticket ya kuanza mapenzi ktk umri mdogo. #nawakilisha😅
Tunaishi kutokana na mazingira SIO mazoea.. #BEADJUSTABLE yo not a stone, keeping in mind that anything can happen at any time.Nothing is guranteed. #lifeneedsFlexibility🔨
There are some generations will remain dormant forever. Why? No one is ready to encounter the cost of changing the history. Everything is being done in mediocrity zone. And that’s very okay with them😕 #thestrugglebeginswith#GAMECHANGERS💪🏽
The same way one may hate you for no reason, another person may be good to you for no reason too. One may discourage you n anthr one may be a shoulder to lean on frm no where. For every action there is an equal but opposite rxn. Life is always 2 sided. #nature
“Financial Freedoom”
It can only be attained where there is more than one STABLE source of income and NEVER unless otherwise.
You will automatically be a slave for money until death do you apart.
#thesecretistogetstartedearlier#2020tunapandaviwango💪🏽💪🏽