Jikinge na wakinge wanaokuzunguka.Wote tukichukua tahadhari tutaidhibiti COVID-19 na hivyo kuzuia madhara inayosababisha katika sekta mbalimbali.
STAY SAFE walinde wenzio,wakulinde.
Fatty liver now affects 1 in 3 adults.
It destroys your metabolism, tracks with diabetes, and increases your risk of heart disease.
1. Eat all the sweet potatoes you want.
A cardiologist shocked me when he said:
"You age because your body stops making Nitric Oxide. Without it, blood pressure rises, erections fail, and Alzheimer's happens."
Here's the 5-step protocol to boost it naturally:
1. Stop using mouthwash
THREAD: The thyroid gland might be the most powerful organ nobody warned you about
Most people donโt know this, but a gland smaller than your thumb controls how fast your body lives or slowly breaks down.
When it malfunctions, it doesnโt just affect one organ. It affects everything.
Letโs talk about the thyroid and why iodized salt is the best๐
Ibilisi alinipanda kichwani sasa mimi ningefanya nini? Afande nilegezee kamba nikupange afande.
Kuna hawa wanaumeโni kama wanatoka kwenye chuo cha "Mind Games and Emotional Disruption".
Let me explain...
Thread:๐
KWA WALE WATU WALIO ULIZA MAANA YA NYOKA SPIRITUALLY..
SASA FAHAMU ASILI YA NYOKA KIROHO YAANI (SPIRITUAL ORIGINS)
KUMBUKA LENGO SIO KUBADILISHA IMANI YA MTU,NI KUJUA TU,THE TRUTH BEHIND FULL STOP...๐ณโคต๏ธ
MEDICATIONS THAT CAUSE ERECTILE DYSFUNCTION
Did you know your medications could be messing with your performance?
Some drugs cause ED or low libido, but because this isnโt widely talked about, many people never make the connection
Letโs identify them, and what can be done ๐๐ผ
โ Unajua kwamba unaweza kujikinga na maambukizi ya VVU hata kama umekuwa na hatari ya kuambukizwa?
โ Unajua kuna dawa za kukusaidia ikiwa umeshiriki tendo bila kinga au umepata jeraha la sindano iliyochafuliwa?
โ Unajua unaweza kutumia dawa maalum kila siku ili kupunguza hatari ya kupata maambukizi ya VVU hata kama mwenza wako ana VVU?
Kama hujawahi kusikia kuhusu PEP na PrEP, basi umefika mahali sahihi! Leo nakupa maarifa ambayo yanaweza kusaidia kuokoa maisha yako!
๐งต๐๐พ
Vita vya Ukraine na Mkataba wa Madini Ulioshindikana.
Huu ni moja ya mikutano iliyoonekana kuwa na matumaini makubwa.
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, walikutana kujadili hatma ya mgogoro wa Ukraine na uwezekano wa kufikia suluhu kupitia makubaliano ya madini.
Hata hivyo, mkutano huo ulimalizika vibaya, huku mambo yakichukua sura mpya ambayo wengi hawakutarajia.
Yalikuwa mazungumzo mazito. Trump, kwa mtindo wake wa kawaida wa biashara, alifika na pendekezo la moja kwa moja tu!
โNjoo, usaini, tuchukue madini adimu, kila mtu afaidi, kisha vita vikome.โ
Kwa maneno mengine, makubaliano yalihusu Ukraine kutoa rasilimali zake za madini kwa kampuni za Marekani kama sehemu ya mpango wa kurejesha amani.
Lakini, kile kilichotarajiwa kuwa mwisho wa mvutano wa muda mrefu, kiligeuka kuwa mashambulizi ya maneno.
Huku Zelenskyy akipaniki, akiongea kwa hasira, na hata kuonyesha msimamo mkali kuliko ilivyotarajiwa.
Uingereza imetangaza kusitisha baadhi ya misaada yake ya kifedha kwa Rwanda na kuweka vikwazo vya kidiplomasia kwa serikali ya Kigali, ikidaiwa kuhusika katika mgogoro wa kijeshi mashariki mwa DRC. Rwanda inazidi kukabiliwa na shinikizo la kimataifa.
More:โคต๏ธ
HEART ATTACK vs. CARDIAC ARREST: KNOW THE DIFFERENCE
Heart attacks and cardiac arrests are not the same thing, but often times, people tend to mix them up.
Letโs fix that in this thread.
Come with me ๐
Mfalme aliyetoka kwenye kiti cha enzi!
Clatous Chota Chama alikuwa ni mfalme Simba SC! Kila alipoondoka, tulimis vibaya sana.
Alikuwa ni mtu wa game-changing moments, mtu wa assists za maana, mtu wa "tupeni Chama, atupatie jibu!"
Thread: โคต๏ธ
Katika ulimwengu wa sasa ambapo mapenzi ni mojawapo ya maeneo yanayojitokeza zaidi katika jamii.
Na wanawake na wanaume wanapambana kwa namna yao kuhusu maisha ya ndoa.
Tiwa Savage, mmoja wa wanamuziki maarufu Afrika, alitoa maneno yaliyogusa mioyo ya wengi.
Haya siyo tu maneno ya mtu maarufu, bali ni maneno ya hekima ambayo yanaweza kuwa na maana kubwa kwa jinsi tunavyoshughulikia uhusiano na mapenzi.
Tiwa Savage alizungumza kuhusu mtindo wa maisha na mapenzi kwa kutumia maneno ya busara, akijua kuwa ukweli mwingine kuhusu ndoa na mahusiano mara nyingi huwa haizungumziwi kwa uwazi.
Maneno aliyoyatoa yanaangaza na kuonyesha mtazamo wa kimaisha kuhusu mapenzi na ndoa katika ulimwengu wa sasa.
Alisema, "Wanaume wanapoomba kupata mke, wanaomba wapate mke mwema. Wanawake tunapoomba kupata waume, tunaomba tupate wanaume matajiri."
Maneno haya yanaonyesha utofauti mkubwa kati ya jinsi wanawake na wanaume wanavyokaribia suala la maombi kuhusu wenzi wa maisha.