@Elsukay0 Kumbukumbu la Torati 22:5
[5]Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.
@maracha35647@Elsukay0 Kumbukumbu la Torati 22:5