@fintanjr_ hata sisi chuoni kwetu ikitokea msiba kuchanga rambi rambi ya mtu tunavutana sana na kubembelezana inakuja mnapata chini ya 100k ila juzi tu hapa kulikuwa na harusi ya course mate mchango ulipatikana 500+k
@Tassafu@MkulimaKante Hamna bhana ile imelinkiwa na spotify na apple music ndo maana ukishazam wimbo unaweza kuiplay kipart kidogo cha wimbo af inakutaka uende spotify kuusikiliza wimbo mzima