Sema mimi ni kama nina mkosi na hawa wanaojiuza kila aliye niuzia wako watatu na wote walibeba mimba siku ya kwanza hivi wana haki ya kunidai huduma za watoto wakati wenyewe waliniuzia?
@Innocen89950594 Huyu jamaa nimwite mjinga maana mpumbavu anaelimika sasa umeona hayo yote unakuja kuomba ushauri gani? Wewe unajua cha kufanya mwache kwani mtoto ni nini? Mwache na huyo muhuni walee wote wewe jijenge endelea kujibiresh pumzika kwenye suala la mahusiano kwa mdua
Siku moja nimetumia demu nauli, piga simu hapokei 😂
Nikawa namsumbua bana hapokei simu. Sijui akaona usumbufu akatafuta mtu akapokea ile simu akanambia huyu binti mwenye hii simu amepotea tangu juzi tunamtafuta tumesha toa taarifa vituo vyote vya polisi.🤣
Oya niliogopa sana
ya hizo dawa
Anakwambia yule mother kajieeleza hadi ikabidi mwana azinunue kwa pesa yake ya akiba zile dawa then ampatie tu aende🥹🙌
Ukipata nafasi na uwezo wakumsaidia mtu
Nimekutana na Mwana mmoja nilipiga nae kitabu viwanja vya Rucu pale yuko kuna pharmacy anapiga kazi
Akanambia oy mwanangu Beno maisha magumu kinoma , huwezi amini leo kuna mother kaja pharmacy akataka dawa nikamtajia na bei ya full dose na nusu dose ila akaomba nimpunguzie bei
Sema mwanamke naye akikupenda sana ni USUMBUFU.
Kajua vijiwe unavyoshindaga anakuja tu randomly, anajua sijui una-cheat kumbe uko na wana.
Asubuhi kushakucha, mara leo mchana utakula nini babaa.
Kaona viatu mjini anakutumia, uchague.
Huyu namuona kabisa akinunua tyres.
Niliamini Dar ni kubwa siku nilipomuona mamsi mkali sana,mguu wa bia,rangi ya fedhasi mweupe si mweusi,shepu flyover,mpole mnoo na church saana
Namtongoza kanizungusha miezi KO!
Siku anajaa ananimwanulia MWANDU ana harufu Kali mno ukeni haiishi geto wiki nzima
Sorry LIZZY😭
Miaka flani ivi magomeni makuti, tuliwahi kufukuza mwizi mida ya saa 12 jioni. Mwizi alikimbia kufika mbele akageuka akakuta tunaomkimbiza wachache, ikabidi atugeuzie kibao na vile alikuwa na panga yule boya alitukimbiza huku anatutukana as if sisi ndo wezi.🙌😂
Dogo yupo form 3. saa 11 alfajir anawahi shule kigamboni-Msasani,kaingia kwa mangi kachukua embassy zake 2 kalipua katembea
Sisi hatujaongea kitu. Kwani ni mtoto wetu?🚮😹
Kunae ile mamsi unakula kimya kimya hutaki yoyote ajue maana itakuwa ni aibu kubwa.
Kuna mwana alikuwa anakula kipofu pale kimara mwisho,yule mama ukienda mwingine anakujua kwa harufu
Utasikia mbona wewe sio madandi?😹😹😹😹
Namcheki Mwamposa kweny TV anaita watu kwa makundi wenye 50k 30k 20k na 10k anasema anawabariki anachapa neno na kuwamwagia maji ya upako
Kama ni kwel ana bariki na watu wanatoboa kupitia yeye kongole kwake ila kama ni janjajanja basi kama taifa wajinga tupo wengi sana
Thread 🧵
Siku Niliyokamatwa Na POLISI
Toka Nimeoa Huu Ni Mwaka Wa 10 Kikawaida Mimi Sinaga Tabia Yakuchelewa Sana Kurudi Home Wala Sijawahi Kulala Nje. Nikichelewa Sana Home Ni Saa Tano Kasoro, Siku Ya Tukio WIFE Kila Akipiga Simu Yangu Inaita Haipokelewi Na Akicheki WhatsApp