Kisa kidogo👇
Nakumbuka kipindi nimetoka tu kijijini nimefika mjini daslamu nikafikia mtoni mtongani nakumbuka ilikuwa mwezi wa 12 basi ilivyofika siku ya Christmas. Usiku wake kuna tukio lilitokea tulisikia sauti ya mdada akipiga kelele mwizi mwizi huku.