@winstone_nnko Ume angalia stream yote mzee wangu ?! Wa Tz wengi wamemjua jamaa baada ya tour yake ya Africa na kuona anaongelewa sana ,Yoh ishowspeed ni kijana mwenye ushawishi mkubwa Duniani ,Trump alishawahi kuwatumia ma stream ku promote kampeni zake