@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe Sasa hapo hoja yako hapa haifiti kwasabb quran haijabadilisha context Yake ,kilichobadika ni kulielewa neno na kulijua maana Kwa undani,na kunaweza kwenye kutokea mvutano ni Jambo la kawaida kama nilivyokuambia ni asili ys binadamu kutofautiana mitazamo.
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe Hili neno watafsiri WA mwanzo walitafrir kama kitu kidogo Sana kinachoonekana,wangine walisema chembe Yani Ile particle moja vumbi .
Lakini lugha ilivyotanuka dharratin ikatafsirika kuwa kitu kidogo Sana kisichoonekana ( kidogo kuliko chembe ya vumbi).
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe Ndio sababu Qur'an imehifadhiwa katika lugha yake ya asili tafsiri za wanadamu zinaweza kutofautiana au kukosolew ,lakini matini yenyewe inabaki ileile.
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe na pia watu wa miaka 100 ijayo wanaweza kuwa na maarifa zaidi kuliko sisi hapo haionyeshi Qur'an inabadilika, bali inaonyesha kwamba uwezo wa wanadamu wa kuielewa unaweza kuongezeka.
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe kwahiy kama hii umeona ni hoja ya kutilia mashaka na we ndio wa kutiliwa mashaka juu ya uelewa wa akili ya binadamu inavyofanya kazi
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe katika kutafsiri mambo kadri ya uelewa watu , na ndio sababu kubwa kuwepo na madhehebu pia ndani ya dhehebu kukawa na mpasuko tena.
Ni asili uktristo pia ipo kwa kiasi kikubwa na sio dini tu,hata sayansi kuna mitazamo,theory ,sheria tofauti tofauti kwa jambo moja,
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe Tafsiri ni suala la individual kuelewa quran na lugha, ndio maana hakuna tafsiri moja na kila mojawapo inapata marekebisho na upitiaji upya ,
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe So?, ndio sababu iliyofanya kubaki salama kwa miaka 1400 bila kubadilishwa wala kupotezwa maana, tofauti na biblia ilivyoparanganyuka
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe Hilo ndilo la kuleta ushahidi wa kihistoria unaoonyesha Mtume Muhammad alipata maarifa hayo kutoka wapi na kwa namna gani. Kufanana kwa baadhi ya maelezo pekee hakutoshi kuthibitisha wala haibomoi hoja za quran
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe Kwa hiyo,hoja ya msingi si nani alikuwa wa kwanza? , bali tunaangalia chanzo cha Qur'an ni nini?. Kama unadai kwamba maelezo yaliyomo ndani yake yalitokana na maarifa ya kibinadamu yaliyokuwepo kabla,(yani mtume kaiga au kujifunza mahali)
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe Watafsiri wa wazamani kutokutafsir au kuhusisha maana ya hio aya na embryology hakubatilishi maana ya aya , kwasababu kwanza zamani hakukuwa na maarifa huhusu embryology ,
Pili aya inaweza kuwa na maana pana hivyo mfasiri wanatafsiri quran bila kulazimisha iwe na maana moja
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe na ukubwa hadi pale itaakokuja hoja ya debunk Kwa mtume alijifunza mahali .
Na pia upo sahihi kusema quran si kitabu cha kwanza, kuelezea hayo na mengine, of course sio cha kwanza, lakini bado haibadilishi chochote
@CoolestDudeOnX@CypherSmithRowe hapo tutapima hoja kwa kuangalia histoiria nani alimfundisha au alisoma mahali ,hapo histoiria ndio itajibu hilo swala,kwa bahati mbaya hadi sasa uthibitisho kwamba mtume alijifunza mahali
Kwaahy quran itabaki kuwa kuonekana kitabu cha miujiza kwa usahihi wake,.