Mwaka huu kilimo ni hasara kwa mkulima, lakini ni faida kwa wanunuzi sisi tunawaita walanguzi.
Debe moja la mpunga kwa kipindi hiki cha mavuno ni shilingi 7000 (elfu saba)
Kwahyo ukinunua kwa debe debe gunia lenye debe saba unalijaza kwa shilingi 49000 (elfu arobaini na tisa) tu
Ukitaka kununua gunia kama gunia ni shilingi 65000 hadi shilingi 70000 hapo itategemeana na na mpunga ulivyo pamoja na umbali wa eneo unalo utoa (umbali wa shamba)
Ukitaka kumtumia dalili akununulie utaongeza shilingi elfu mbili katika kila gunia kama ni 65000 maana yake utalipia 67000 kama ni 70000 maana yake utalipia 72000
Gunia lenye ujazo wa debe saba kwa mpunga ulio iva vizuri unaweza kukutolea debe tatu za mchele ambazo ukiuza mchele kama mchele debe moja linauzwa kwa 54000 (elfu hamsini na nne) debe tatu unapiga 162,000 (laki na sitini na mbili)
Ukitoa ile elfu sabini yako pamoja na uendeshaji tuseme utoe 92000 una baki na 70,000 fulani hivi ya kinyamwezi
Ukifanya hivyo kwa gunia kumi una proft ya shilingi 70000 (elfu sabini)
Hapo ninepigia kama gunia umelichukua kwa 70000 bei ya juu kabisa hii
Je kama uneichukua kwa option ta kupima kwa debe yaani 49000🤔
Ngoja nihamie kwenye biashara kwenye kilimo nanyonwa👊
Makampuni mengi sana TZ kwa sasa wanalia kimya kimya na uhaba wa madereva,,malorry yamekuwa mengi afu madereva hakuna na hao waliokuwepo wanachagua kampuni za kufanya kazi tajiri ukiwa mbahili unatoa posho na mshahara mdogo madereva wanakukimbia.
Hali si hali.
Wapwa mnaonaje leo saa 4 tukaanza mention kila mmoja apate folowazi 100+ hivi
Weka hendo yako naandaa list hapa kisha mfolo kila atakayelike hendo yako na yeye atakufolo baki