CAF Confederation Cup msimu ujao linaonekana kuwa na ushindani mkubwa, huku vilabu vikubwa kama Al Ahly, Raja Casablanca na Kaizer Chiefs vikishiriki. ๐น๐ฟ Azam FC na Singida Black Stars zitaiwakilisha Tanzania, huku ๐ฐ๐ช Tusker FC ikiwakilisha Kenya.
#CAFCC#Tanzania#Football
๐น๐ฟ๐บ๐ธ Tanzania na Marekani zimesaini makubaliano ya afya ya miaka 5 yenye thamani ya dola bilioni 1.3. Hatua hii inatarajiwa kuboresha huduma za afya nchini. ๐๐ค
#Tanzania#Afya#SamiaSuluhu#USA#TrendingNow
๐๐ข๐ฆ๐ง ๐ง๐๐ ๐๐๐ ๐, ๐ช๐ข๐ก ๐ข๐จ๐ฅ ๐๐๐๐ฅ๐ง๐ฆ. ๐๐จ๐ฉ
They gave everything, but it just wasn't enough...
But they can be proud of their journey. ๐
It was their first World Cup appearance since 1974, and they won their first-ever World Cup game against Uzbekistan and held Portugal to a draw.
And they only fell short against England in the final minutes...
Les Lรฉopards made a whole nation believe again. ๐ซถ๐จ๐ฉ
Jeshi la #Polisi mkoani Kigoma limesema linachunguza kifo cha Suezi Maradufu, aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA, John Heche ambaye amekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni.
Kwa Wanasimba wote, ASANTENI SANA ๐
Ligi Kuu tumemaliza, lakini bado tuna nafasi ya kukamilisha msimu wa 2025/26 tukiwa na ubingwa. Malengo, nguvu, dua na kila tunachoweza kufanya ni katika mchezo wa Jumamosi wa fainali ya Kombe la Shirikisho. Kila mmoja akae mguu sawa kwa mchezo huu mkubwa na muhimu kwetu. #NGUVUMOJA
Morocco ๐ฒ๐ฆ inakuwa ndo timu ya kwanza kutoka Afrika kufuzu hatua ya 16 bora ya kombe la dunia ikiwa ni baada ya kupata ushindi wa penati 3-2 dhidi ya Netherlands ๐ณ๐ฑ katika mchezo wa 32 bora.
Congratulations The Atlas Lions. ๐
#Morocco#Afrika