Wewe unaona influencer wa betting ameweka stake ya 500k.
Wewe kichwa kichwa unachukua salary yako ya Tamisemi yote unatumbukiza kwenye mkeka.
Kiuhalisia 500k aliyoweka yeye hajatoa mfukoni kwake but wewe 500k umetoa mfukoni kwako then unakuja mtandaoni unasema akiliwa mmeliwa wote.