Waliopewa nchi imewashinda mpaka sasa huduma zote za kijamii hazieleweki alafu wapo kimya, umeme @tanescoyetu siku ya 4 umeme haununuliki, maji @dawasco_tz maji yanatoka lisaa moja tena usiku wa manane saa 9 usiku tu, takataka zinamiezi zaidi ya 3 hakuna gari la taka mpaka sasa.
@mshambuliaji Mmmmmh unafikili ukitaka kuwa mbunge unakuwa? We vipi ungegombea na wananchi tungekupiga chini hapo ndo ungejua hujui kitu. Komaa huko huko ubunge hufai hata kidg maana ubunge unachaguliwa wala huamui wewe
@ZaynSalma1 Tatizo unaweza kuwa unatafuta anaejielewa kumbe mwenyewe hujielewi lazima upate wa kufanana nae. Je wewe unajielewa au ndo mjinga mkubwa anatafuta msaidizi wake
@evansponera@Balimponya @FichuaTanzania @king_lameck@UhamiajiTz Acha kutumia makalio kufikilia serikal lazima ilinde kazi ambacho zipo ndani ya nchi ambazo kuna wazawa wanaweza kufanya, unafikilia wakiachiwa si makampuni yataajili wa nje tu na watz mtabaki kulalamika hamna ajila?