@TTCLCorporation please naomba mtusaidie sie wateja wa ttcl.wifi zanzibar
Tunapata shida sana tunalipa internet hatupati tunakwenda ofisini hatupati huduma
Habari za jioni? Mimi ni mteja wenu natumia home wifi ya ttcl . Tunashukuru kwa huduma yenu ya wifi Ila huku zanzibar wateja tunapata service mbaya sanaa , siku Zaid ya 5 sipati internet na mimesharipoti Ofisini Ila hakuna huduma nimepatiwa hadi
Naomba msaada @TTCLCorporation
@TTCLCorporation habari za jioni. Mimi ni mteja wenu wa ttcl zanzibar, Napenda kutoa malalamiko juu ya ucheleweshwaji wa kupatiwa huduma kwa wateja hapa zanzibar, despite ya kufatilia ila bado hatupewi huduma.
Yaani kama vile tunapewa za free, tunazungushwaa.Sanaaaa
Naomba msaada
#Ajari 😭😭
Basi la kilimanjaro Express linalofanya safari zake kutoka Tunduma kuelekea Dar es salaam likepata ajari asubuhi hii Senjele ya pili, kama una ndugu jamaa na rafiki alikua anafanya safar na basi hilo wasiliana nae kujua hali yake
Habari za mchana, mimi ni mteja wenu wa ttcl nitatumia router na home WiFi ya ttcl. Napenda kuwa mteja wenu zanzibar naona pale ofisin kwenu kijangwani zanzibar wateja tunapata huduma mbovu sana, caring ya costumers ni mbovu sana. Yani zaidi ya mwezi mateso @TTCLCorporation
@TTCLCorporation nasikitishwa na costumer services mbovu ninazopata kutoka kwa wahudumu wenu, leo ni siku ya 4 nimeshalipia package ya home wifi ya ttcl ila huduma sipati na ninesharipoti. ila kila nikipiga simu kwa costumer care wahudumu wenu hawatatui shida yangu
Comparison of Plantar Fasciitis Injected With Platelet-Rich Plasma vs Corticosteroids - Sumit Kumar Jain, Kumar Suprashant, Sanjeev Kumar, Arun Yadav, Stephen R. Kearns, 2018 https://t.co/XLjKVotZ8z
Ethiopian is still in the forefront of fighting COVID-19 and we have continued disseminating cargo shipments in our Boeing 787-800 Dreamliner passenger aircraft from Hong Kong to the rest of the world. #CabinLoading#EthiopianCargo
@Tigo_TZ hivi mnashida gani nyie Tigo, nimeweka hela yangu Tigo pesa, imekaa sijatumia kabisa ila baada ya siku chache naona Kuna upungufu wa pesa account yangu
Hii sikubali kabisa mnatuibia