#HABARI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema zaidi ya asilimia 40 ya Watumishi wa Umma hawafanyi kazi licha ya kulipwa mshahara kila mwezi.
Amesema hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Tume ya Utumishi wa Umma nchini
Mhe. Simbachawene amesema hayo leo jijini Arusha wakati akifunga Kikao kazi cha tano cha Serikali Mtandao ambapo amesema Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma wanawajibu wa kuhakikisha kila mtumishi anatekeleza majukumu yake ipasavyo.
‘’Watumishi ni lazima wafanye kazi kwani wasipofanya kazi wanakuangusha wewe Mkuu wa Taasisi, lazima tuwe na jamii inayoandaliwa kufanya kazi’’ amesisitiza Mhe. Simbachawene
Amefafanua kuwa kwa mujibu wa tafiti hiyo, wavivu, wazembe, wagonjwa pamoja na waliosusiwa kutokana na vipaji na uwezo wao ni asilimia 40 ya Watumishi wanaolipwa pasipo kufanya kazi
Amewataka Wakuu hao kuwatumia Watumishi wa Umma wenye vipaji na uwezo badala ya kuwafanyia fitina na hujuma hali inayopelekea kurudisha nyuma maendeleo ya nchi
Amesema hali hiyo imesababisha kutokuwepo kwa urithishanaji wa madaraka jambo ambalo limechangia kudhoofika kwa Taasisi pale kiongozi wa Taasisi anapostaafu au kuhama. #EastAfricaTV
@zittokabwe Hongera kwa taarifa bro hakika upo na ukomavu mkubwa sana wa siasa sema tu umesahau kusifu wanaofanikisha hayo kama ambayo hukosoa kwa kutaja majina ya watawala, kuwa muungwana isifu serikali chini ya Rais Samia kwa kufanikisha hayo. Ahsante
ANGALIZO KWA WANA CCM NA UVCCM
🔴 Kaeni mkijua kuwa CCM ambacho ni chama chenye kushika dola kina dhamana ya kuongoza hii nchi na kikatiba wamepewa mamlaka hayo kwa kura na kamwe msikubali watu kama Mbowe waliofeli kufanya siasa wanataka kuingia serikalini na kuongoza nchi hii kwa kumwaga damu na kuleta vurugu na mapinduzi ya serikali iliyoko madarakani kihalali.
🔴 Ni jukumu lenu la dhati kabisa kukilinda chama hiki na kulinda viongozi wake kwa jasho na damu na msikubali kauli za dharau anazozitoa Mbowe dhidi ya Rais na kusema anaikataa kauli yake. Mbowe ni nani nchi hii mpaka asemee watanzania milioni 60? Who is he? Mbowe ni blood thirst politician ndiyo maana yuko tayari kutembea juu ya damu za watu na maiti za watu kwenda Ikulu tena kwa kupanga mapinduzi kama anayoyafanya sasa.
🔴 Hakuwezi mkaacha UFIPA wanatukana na kuchafua viongozi wa serikali na chama na kuwakalia kimya. Mkifanya hivyo mtakuwa mnajitia unyonge wa hali ya juu sana na kuwapa watu hawa midomo mipana kupayuka na kujiona nchi hii ni ya kwao.
🔴 Hamuwezi kuacha Mbowe na kundi lake wanaichafua serikali kushoto kulia na kujipa haki ya wao kupenda kusema serikali na wakisemwa wao wanatoa mlio na kuona wanaonewa sana.
🔴 Wana CCM na UVCCM mna haki kama walizo nayo wao ya kutetea chama chenu na viongozi wenu kwa staili ile ile wanayoitumia wao.
Hamuwezi kukaa kimya na kuchukulia ni jambo la kawaida kwa Mbowe kuitisha wanachama wake wote nchi nzima na kutoka anazoita kanda zote nchi nzima kuja Dar es Salaam na kufanya maandamano yenye lengo la kuangusha serikali na kuleta vurugu.
Mbowe ana hamu sana ya kuleta machafuko na vurugu kama zilizotokea Kenya ili adhma yake ya kuwa kiongozi wa taifa hili itimie. Ndiyo maana anaweza kusimama kwa ujasiri na kusema watu wake nchi nzima waje Dar es Salaam kuandamana.
Kwa nini hawataarifu na kuwakusanya Moshi? Kwa nini Dar Es Salaam? Yaani CCM na UVCCM mnawezaje kuacha chama chenu na serikali yenu inachezewa kiasi hiki? Hawa watu wanajua hawawezi kushindana na CCM kwa kura ndiyo maana sasa wanachagua kuanzisha vurugu na kutaka kuleta machafuko na kupindua serikali.
Wanachama wa CCM mna jukumu la kulinda serikali yenu na chama chenu.!! Msisubiri muambiwe nini cha kufanya.
JIPANGENI KUTETEA SERIKALI YENU NA VIONGOZI WENU NA KAMA WANAWEZA MKUTANE KATI !!!
#KigogoMediaUpdates
@ccm_tanzania Safi sana ccm nadhani ni wakati wakutatua shida zetu za ndani n nje ya chama na kuthubutu kwa wananchi wetu tunawaongoza tuwasikilize bila kuogopa kisha tutafute soln
LISU NA HECHE NI VICHAA
✍️Kasema mzee MBOWE kuwa wanaomdhihaki Rais Ni vichaa akiwalenga LUSU na HECHE
✍️We bwege mwingine unaejiita CHADEMA unasimama na MBOWE akili kubwa au LISU kichaa?
@kigogo2014 @sheby_yahya @ngaso6_ngaso @rwabudugu @mwewe_48 @mgangajoh@VidonyiHumphrey
@AllyHapi Maashaallaah Maashaallaah TUNATUFUNDISHA MENGI SANA SISI VIJANA KUWA NA BACKUP ili kazi ya kuajiriwa/kuteuliwa ikimalizika urudi kwenye CHAKA lako na MAISHA YASONGE, M/MUNGU AKUPE PUMZI ZAID