Mwanaume 1 mrefu
2. Black au whte flani
3. Anahofu ya Mungu
4. Anakukumbusha kusali nk
5. Anakujali
6. Ukiamka au ukitaka kulala simu ya 1 ni yeye 😊
Sijui mnanielewa??????
Muwe na usiku mwema🥂
Tufungue ma group ya retweet tutashinda hi vita ✍️
Weka Twitter handle yako Niku add chap retweet like group Lina beba watu 250 usipo retweet siku add 🙄
Kampuni ya Dubai Port World (DP World) imewatoa wasiwasi Watanzania kwa kufafanua kwamba mkataba baina yake na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ni ushirikiano ambao hauzifungi pande hizo mbili kisheria.
Kupitia taarifa yake kwenye mitandao ya kijamii DP World imesema:- “Tunapenda kuwajulisha Watanzania kwamba DP World bado haijafunga mkataba wowote wa makubaliano kati yake na TPA. Mkataba uliopo sasa (IGA) ni mkataba wa ushirikiano ambao hauzifungi pande zote kisheria. Ukomo wa mikataba, itawekwa wazi kwenye ndani ya mikataba ya kazi mahususi.”
#KitengeUpdates