๐จMitsubishi Outlander aka Kenge Kwenye Msafara wa Mamba..
.
Mitsubishi Outlander ni compact crossover [medium sized] SUV inayotengenezwa na kampuni ya kijapan ya Mitsubishi Motors..
.
Mwanzoni ilikua inajulikana kama Mitsubishi Airtrek ilipokua introduced Japan mwaka 2001..
Hili halijatokea bahati mbaya.
Malezi tunayowalea watoto wetu ndio chanzo. Watoto hupenda kujaribu mambo wanayoyasikia au kuyaona. Shida ipo hapa, nyumbani tunaamini Hawa ni ndugu, kwahiyo hakuna shida.
Katika maadili ya uislam,tunafundishwa ya kwamba,mtoto akifikisha umri wa kujua uchi,kama unalala naye,mtenge haraka sana.Hapa Huwa inategemea na ukuaji wa akili yake.Kama amefikisha miaka 2ยฝ ukagundua ameanza kujua,basi mtenge.
Lakini hairuhusiwi kuwalaza pamoja watoto wakiume na wakike pamoja.
Kama wapo wakiume,wasilale upande mmoja kitandani,inabidi walale mzungu wanne na wasijufunike shuka moja.
>Kilichotokea hapo inamaana waliishi bila mipaka na kukaa faragha sana mwisho wakaona ni kawaida na hayo ndio matokeo yake
@TBoundBuses Mara ya kwanza niliiona kene mashine Moja hivi kahama - Moshi. Namuuliza bob dere anasema "jombaa kuchanika Kwa mkeka sio mwisho wa maongezi aref"