Kulala Ni Wajibu Wa Kila Siku, ila Kuamka Ni Neema Ya Mungu Hebu Mshukuru MUNGU Kwa Kukuamsha Salama Kwani Tulilala Wengi Jana Lakini Tulio Chaguliwa Kuiona Leo Tukiwa Wenye Nguvu Ni Baadhi Tu.
Basi Wakumbushe Rafiki Zako Nao Wamshukuru MUNGU Kwa Neema Hii Ya Leo.
♥️🩶
Kila mtu katika kitabu chake cha maisha kuna ukurasa ambao hawezi kuusoma kwa sauti kwani mungu akikupa nyumba ya matatizo daima hakunyimi milango yakutokea.
🩶🖤🤍
📍Mtumba, Dodoma
Ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo unatarajiwa kugharimu pesa za Kitanzania Shilingi Bilioni 16, Na itakapokamilika, maabara hii itatoa huduma za utafiti na vipimo vya kilimo kwa mikoa ya nyanda za kati na yanayozunguka.
Hii yote ni katika kuhakikisha tunaleta mapinduzi ya kiteknolojia na utaalam kuongeza uzalishaji wenye tija kwenye kilimo.
#Agenda1030
Kazi Iendelee