@CloudsMediaLive Watuulize sis wa KALYNDA ilkua registered na brela walikua na TIN namb it means ni walipa Kodi wanao tambulika na taasis husika matangazo mpaka ITV na bdo wakatapeli watu
@ahmed__ally simama km msemaji wa klabu kemea dhulma ilyofanyika na kupelekea kupoteza mchezo sio kutoa maneno ya faraja pasipo hitajika...huu sio muda wa kupeana faraja ni muda wa kukemea uozo unaoendelea kwnye ligi yetu..la sivyo tutaendelea kupoteza kila siku