@MikeSonko @SonkoRescueTeam Ubarikiwe.viongozi Kama wewe unajali mwananchi sio wale wanangangana na BBI sai...Kuna familia haziaford mask Wala sanitizer na pad .bt mungu amekupa hekima unajali walio chini...in Sha Allah mungu azidi kubariki na akulinde na wale wenye Nia mbaya na wewe..mchana mwema.
@MamaRachelRuto@WilliamsRuto MashaAllah..Mungu awabariki..Happy Birthday my president..tunakusubiri Mungu atupe nguvu atupe afya2022 tuko na ww. Inshallah