@JohnieZeBest Kama kuna mahala tunafail ni kutowaandaa wapokeaji (wanaokopeshwa). Wengi wanakusanywa na kuambiwa waunde vikundi lakini elimu/taaluma juu ya usimamizi wa hiyo miradi na uendeshaji hakuna. Ni tatizo
@JohnieZeBest@UNATanzania Changamoto ni kuwa return yake iko too slow na wakati mwingine ni nadra kurudi kiasi kwamba inawawia ugumu wakurugenzi kutekeleza though ni takwa ni kisheria
Mbeya harusi ya Mwanetu tuliweka Deposit Slip ya Magumashi kama Milion 15
Bwana weee pale mbele tushangiliwa sana tulipigiwa nyimbo zaid ya 5
Na tukatambulishwa kuwa ni marafik toka dar na walikuja na ndege😂😂😂😂
@lukanza
Familia ya soka tunahamia Tanga, Jumatatu, Juni 12, 2023.
Ni fainali ya ASFC kati ya Azam FC na Yanga SC katika Uwanja wa Mkwakwani.
Mungu anijalie uhai na afya niweze kushuhudia tukio hilo.
@charlesabel24 Kaka hii ni kwa sie watu wa Chigugu, Chikundi, Chiwale, Chisegu, Chiungutwa, Nanguruwe, Lidumbe, Mnyawi, Litehu ila kwa wenzetu wa Sinza, Temeke na kwingineko… wanalipa wachimbaji
@hamzaalbhanj tatizo hatuna tunakoenda kwenye asili kama hii hvy siwezi kukuambia yatupasa tumiliki kama hii… hata anakoishi @lukanza kunafikika na Vitz
AZAM FC Chuo Halisi Cha Mpira Wa Miguu Tanzania ........
Simba SC ; Robo Fainali Mara 4 Michuoano Ya Kimataifa Key Player Ni Zao La Azam FC
Yanga SC ; Nusu Fainali Shirikisho Key Player Ni Zao La Azam FC
Kuna Vyakuchukiwa Sio Azam Fc
"UKINUNA UWE NA SABABU"