Sio mbaya Simba wakiwekeza nguvu kubwa katika Kombe la Shirikisho Afrika, Kombe la Azam Sports na maandalizi ya Ligi Kuu msimu ujao.
Kupitwa pointi 10 na Yanga ambayo imeimarika kwa kiasi kikubwa msimu huu, ni pigo kubwa kwao huku zikibakia mechi 17 kwa kila timu