Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
Moja ya vitu najifunza taratibu ni utoshelevu.
Haya maisha hayataki ujilimbikizie mali ili uyafurahie.
Jaza moyo wako kwanza na upendo, huruma, na unyenyekevu.
Hata makange yanakua matamu balaa ukila.
Mbona mnamuita Tapeli ila ham-specify kivipi au kwa kipi?!
Narudia tena, mimi sijui alichofanya. Ila nachoweza tolea ushuhuda ni ability yake ya ku-act as a Leader. Na fact kwamba hajaleta vurugu baada ya kushindwa uchaguzi says alot about his character.
Nilitia neno kipindi kile kuwa style ya kampeni ya kupakana matope haina afya; na yeye ni binadamu (ataoenda madaraka ila pia anaumia akisimangwa, hususan kwa kuzingatia historia yake na Chama).
Ila ni sahihi kwa uongozi kubadilika, na hicho ni kitu pengine alikuwa mgumu kuona. Ila never take for granted what he did and how much he sacrificed! Heshima kwa FAM ni milele… na mimi hata hanijui personally
FAM ni miongoni mwa viongozi bora tuliowahi kuwa nao TZ. Kuna wakati CHADEMA nzima ilikuwa “on his side”. Hata mimi ambae sio CDM, nilikuwa impressed na his Leadership.
Nobody is perfect, na sijui kipi kimetokea kwake, ILA tudili na hili kwa kila mtu binafsi kwa namna yake, badala ya kujificha behind biased generalization.
Ndugu zetu wamezikwa Hapa.
Ripoti ya CNN inatuonyesha hili eneo la MAKABURI YA KONDO, BAHARI BEACH kuna MAKABURI YA HALAIKI (Watu wengi wamezikwa kwenye shimo moja).
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵😎
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
Hii hapa Video ikionyesha UKATILI WA SAMIA uliofanyika GIZANI.
Dunia hii ya leo sio ya kuficha UNYAMA kama huu. Hata hilo eneo mlilofukia ndugu zetu mkienda kufukua TUTAJUA BORA MTULIE.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵😎
Kakaangu @LarryMadowo najua upo bize na ile documentary ya Mauaji ya kitisha yaliyofanyika Tanzania siku za GIZA.
Naomba matukio haya mawili ambayo yametoka jana na leo (Hospitali ya mwananyamala DSM na Mount Meru Arusha) yaingie kwenye Video yetu.
Usisahau sehemu muhimu ya Serikali Wamepinga video kuwa zimetengenezwa na AI japo tumeweza kuthibisha kuwa sio AI na AI imekataa kabisa kuhusika na kusisitiza video ni Halisi. Tunaomba mkanganyiko huu Uwe sehemu ya VIDEO hiyo.
Sikufundishi kazi ila hayo yataonyesha jinsi gani tulivyo na serikali KATILI sana kama watanzania.
Naomba nisaidie kumtag @LarryMadowo Barua hii FUPI imfikie.🙏🏿
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hakuna favor wala hisani tunayoomba kutoka kwa Rais.... sisi kama wanasiasa wa upinzani madai yetu kwa mh Samia ni kumtaka afuate katiba na sheria ya vyama vya siasa ya 1992. Miaka sita katiba na sheria ilipuuzwa. Madai yetu ya katiba,tume huru na demokrasia ni endelevu tutadai.
Nimemaliza kazi yangu ya maombi rasmi leo. Naondoa hema yangu. Over to you God. Strength forth your might hand so people can see your exceeding greatness and salvation such that they never seen. In Jesus name, I pray. Amen. Mungu awabariki sana.
serikali inayoshutumiwa kuuwa watu haipaswi kuwa na nafasi ya kuamua nani achunguze shutuma hizo. tufike mahala tuchukuliane serious kama watu wazima. huu mchakato umekufa kabla ya hata kuanza. hakuna kufunika kombe; mwanaharamu hapiti hapa. lazima akabiliwe. kaeni mkijua hilo!
Wakuu kwa uhitaji wa huduma zifuatazo:- Professional business consulting,accounting & financial services, marketing,tax solutions, and strategic business advisory to help your business grow, adapt and succeed nicheck dm au email: [email protected]#MtuKaziSinaKazi