jamaa muongoo weewe Idea ya media haikuanzia kwa kusaga Clouds walipofungia kupiga nyimbo za wasafi waapata wazo la kuanzisha media yao na Harmonize ndio alitoa wazo na Mond ili kufanikisha atafuta partner wakufanya nae ndio mke wa kusaga akajump in kwahyo sio kusaga ni mkewe
@MwijakuBurton Burton ukiachaa kuishi kama mwijaku wa kwenye mahusiano na chawa wa wasanii na mama yako. akili zitaanza kurejea. boss wako ruge alisema ogopa sana tecnologia. uyanenayo yanaishii na wanao watajaona uzwazwa wako kwenye mambo muhimu
Dear @m8arteta - I hereby formally declare trust in your process. You’ve built a thrilling team full of energy, pace, power, commitment and ferocious will-to-win. Love the way we play & our attitude. I had my doubts about you - but not any more. Keep pounding 👊
Siku kama ya leo miaka 7 iliyopita mwanamziki @AyTanzania aliachia collabo yake ya “Touch Me” akiwa na Sean Kingston na Miss Triniti.
Unakumbuka nini ukisikia wimbo huu?
@moodewji Ukweli mchungu hakuna ambaye hajaumizwa na matokeo tunaenda shirikisho tupange mikakati ya kushinda huko sio kusaka mchawi saivi ni kuundoa moral ya timu. Sisi nani hasa tusifungwe?. Msaliti? Why uwaze hasi kwenye jambo la wazi hilo? #tushikamane safari bado sana #simbanguvumoja