Hospitali ya Halmashauri ya Mtama, mkoani Lindi, Operesheni/Upasuaji wa kwanza mkubwa umefanyika leo tarehe 15.08.2023 kwa mafanikio makubwa. Operesheni hizo 2, zimeokoa maisha ya kina mama wawili na watoto wawili! Ahsante sana Rais Samia, sisi wana MtamaTunakuelewa Sana!🙏🏾🙏🏾
TANZANIAN GOVERNMENT RESPONSE TO INACCURACIES IN REPORTS ON ARRESTS OF CRIMINAL SUSPECTS IN TANZANIA
It has come to my attention that some organisations - local and international - have been issuing statements with factual inaccuracies and gross misrepresentation of facts about the recent arrests of three individuals in Tanzania alleged to be involved in criminal conduct.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. @SuluhuSamia leo tarehe 17 Agosti 2023 ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
#CCMImara#KaziIendelee
Matukio Picha
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. @SuluhuSamia leo tarehe 17 Agosti 2023 ameongoza kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
#KaziIendelee
Matukio Picha
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. @SuluhuSamia leo tarehe 17 Agosti 2023 ameongoza kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
#KaziIendelee
Waziri wa Fedha @mofURT Mh. @mwigulunchemba1 akutana na Mwenyekiti wa Taasisi ya China International Development Cooperation Agency (CIDCA) @cidcaofficial Ndugu LUO ZHOHUI leo jijini Beijing.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center leo tarehe 30 Aprili 2021.
#ChamaImara#SerikaliMadhubuti#Kaziinaendelea
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi, nawatakia Ijumaa njema na kheri katika kikao chenu cha leo cha kumchagua Mwenyekiti wa sita wa Chama chetu. Kura zote za ndiyo apewe Mh @SuluhuSamia na tunamuombea uongozi madhubuti. #KSK_Balozi
📍Dodoma
🏛-Jakaya Kikwete
Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Jakaya Kikwete akiwa kwenye mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi-CCM, kumchagua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mwenyekiti wa CCM.
Nawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kunichagua kwa kura zote (100%) kuwa Mwenyekiti wa CCM. Nawaahidi utumishi uliotukuka na CCM imara ambayo inaongoza Serikali yetu ya Awamu ya Sita.