Nimeona hii post ya mtoto wa Kibonde akiomba “msaada” watanzania tunsaidie.
Binafsi imenifirisha sana, mtu unapambana sana kufanya kazi usiku na mchana kutafuta pesa na kutengeneza mazingira bora kwa wanao endapo utaondoka wasipate shida.
Pesa unazipata, misingi unaijenga na bado ukiondoka watoto wako wanapata shida🙌
🚨Prado 2024 Wanaleta Chuma Nyingine..
.
After 15 years Toyota wanaleta chuma ya kito-fauti kutoka katika uzao wa Prado..
.
Sasa ndani ya dakika 5 tunaenda kukupa ABCD za hii chuma mpya..
.
Then utaona kama yaliyomo yamo, kabla hatujaanza safari gonga RT ukiondoka ni one way..
Siku kama ya LEO 24.06.2024 ndio mwanangu alianza kunisaka mtaa kwa mtaa, mitandaoni kushirikiana na watanzania bila kuchoka.
Familia ilibidi isafiri kutoka MBEYA kuja Kuweka kambi Dar kwaajili ya misako ya usiku na mchana, bila kusahau maombi ya KUFUNGA NA KUOMBA kwa pamoja.
Wazazi na watanzania mlijua kunipambania, leo ni miaka miwili na haya yote yapo bado kichwani mwangu na sitamani yajirudie, ndiomaana nakuwa mkali sana kuhusi UTEKAJI maana najua familia zinateseka kwa kiasi gani.
Leo vijana tumeamua kufanya hili dogo kwa wazazi, kama kuwapa FARAJA za mapambano yote waliyoyafanya kwetu.
Zamani hizi zilikuwa NDOTO, leo ni maisha ya kweli tunayoyaishi—ASANTE MUNGU hata kwa hii nafasi.
S/o kwa mwanangu JAMES (Taivina) kwa kuendelea kuwepo kwenye maisha yangu, wewe ni tafsiri ya NDUGU.
TUISHI.🫡
Consistency ya Maombi yao kwetu baraka zinawafikia mpaka wao.
Mama SATIVA na Mama Taivina mtakutana nao Road huko msisite kuwapa msaada wakikwama barabarani.🙏
Yaliyotokea October 29. Watu wa Muhimbili wanaanza kufunguka.
Imagine una watu wanajiita viongozi waliokuwa wanachukua majeruhi kwenda kuwaua.
Tarehe ni moja tu; 7.7 Tunatoka
Hakikisha unagombana na wazazi wako mapema ili uwe huru maisha yako yote , la sivyo watataka ushirikiane nao kwenye mambo yao ya kishetani na kumkosea adabu Mungu 🤔 .
Sivuti bangi.
Sinywi pombe.
Sivuti sigara.
Sio mtu wa ujana mwingi.
Elimu ya darasani ipo kutokea UDSM.
Ila currently niwaambie.
Hawa madogo wanaovuta bangi na ma sigara halafu wanaimba live kwenye majukwaa.
Wanaweza sana na nawasikiliza sana, madogo wanaimba tuonayo.