@bbcswahili Hakuna nchi inayoruhusu mtu azikwe na pesa,pesa.zinatakiwa zibaki kwenye mzunguko,labda kama anapesa zake mwenyewe zenye jina lake na picha yake,lkn bila hivyo hakuna kitu kama hicho
@zittokabwe Sasa kama unaweza kwenda kuripoti polisi kila baada ya siku 3 ndio maandamano mngeyaweza nyinyi,uoga unaanziaga kwenu nyinyi wenyewe viongozi.Ungekomaa tu,polisi huendi na maandamano ungefanya
@bbcswahili Na bado mtakimbia kama panya buku,huyo ndio Mungu bhana anayejibu kwa Moto,mlitaka watoto wa watu waandamane na mnajifanya kama kufa na tufe,sasa mnakimbilia nchi za watu za nini wakati mpo tayari kufa?komaeni tu ili mfe @godbless_lema
@RealHauleGluck Hakuna shida kabisa,wataongozana na mwanamama mwenzao aliyeshinda ubunge,kuingia bungeni,waliotoswa watakua wanawaangalia wabunge wao kupitia bunge live
@MdoeTuppa@bbcswahili Wameporwa au wananchi wamewachoka,hakuna wanachokifanya pesa zote za maendeleo wanazipoteza kwenye makesi yao ya kijinga,kutwa wapo magerezani kwa ujinga wanaoufanya,alafu wananchi wanawahudumia saa ngapi,wapumzike huko,wajipange kwa ajili ya 2025,labda tutawafikilia tena
@bbcswahili Muacheni mwenzenu ana majonzi makali,hajalala huyo toka matokeo yatoke,alafu ana zinga la deni alikua alipe awamu ya bunge hili jipya.Mpeni faraja tu
@tanpol Yaani nimecheka,Police bhana ndio kundi lenyewe hili tu dogo,mbona mnatania,ongezeni kikosi bhana ili kila police mmoja awe na mtu mmoja wa kumvunja vunja,sasa kikosi hicho si kitakimbizwa na mawe tu jamani
@IBidaz@MwenyeKijiji@voiceofbongo@MagufuliJP Hahahaaaa,hayo ni maneno ya hasira,na wakati wa Corona uliomba hivyo hivyo au ulikua unaungana na wapinzani kuwa Mungu yupo busy,basi Mungu yule mliyemzarau kipindi kile ndio anajibu https://t.co/N891V4BBgK yy sasa hawasikii yupo busy
@hassankham1s@SeifSharifHamad Huyu kila akigombea anawaweka wenzake mstari wa mbele wanapigwa,wanapata ulemavu,wanauliwa alafu yy uchaguzi ukiisha anafanya muafaka,na atadaiwa hizi roho zinazokufa kwa ajili yake,sasa hivi bora afe yy na familia yake.