Tunaokufa ni SISI sio WAO. Tunaolia ni SISI na sio WAO. Tunaojua maumivu ya kuugua na kuuguza ni SISI na sio WAO. Ujinga ni kuwaamini WAO wakati tunaolala matanga ni SISI. Tumedanganywa mambo MENGI sana HILI ni mojawapo. Tujilinde #TakasaMikono#Usisongamane#VaaKinyagoChaUsoπ·
Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL)
Yanga SC INAONGOZA LIGI
π Mechi 18
β Ushindi 13
βοΈ Sare 5
β Haijapoteza
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara
Yanga Princess INAONGOZA LIGI
π Mechi 11
β Ushindi 10
βοΈ Sare 1
β Haijapoteza
WANANCHI wanaweza kubeba BARA na PWANI?
Hivi inakuaje kupeana taarifa kuhusu hatari iliyo mbele yetu iwe kosa kisheria, ni nini faida kwa wanaoficha ukweli wa Hali ilivyo kuhusu uwepo wa pneumonia sugu.....ndugu zangu hii kitu ipo Duniani chukua tahadhali wakinge na wengne, vaaπ·π· epuka mikusanyiko isiyokua ya lazma
Dear @TunduALissu wishing you Happy Birthday π π₯
Naona Pompeo kakuwahishia birthday gift π Mi nina salamu na nakuombea afya njema na maisha marefu!
May God protect you as you pursue your dreams! Never give up as we fight on for a better and democratic #Tanzania ππ½ God bless!
KIGOMA: WANAFUNZI 5,400 HAWATAWEZA KUANZA SEKONDARI KWA UHABA WA MADARASA
> Wanafunzi waliopaswa kuanza Kidato cha Kwanza watatakiwa kusubiri wakati madarasa yakiendelea kujengwa
> Mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa vyumba 109 vya madarasa
Soma https://t.co/eyy4KcIxF7
#JFLeo
#HABARI Meneja Uhusiano wa @tanescoyetu Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme.
Hivi train uwa lina bima ? Likiumiza watu namna hii wanalipwa? ni Biashara ya usafirishaji,
Kama train haina bima it is time kuweka policy in place sehemu ya nauli iende kwa bima ya safari kwa ticket π« iliyokatwa kuwe na mfuko maalum cc @zittokabwe@MariaSTsehai@fatma_karume