Biotechnologist//Human rights defender//Co-founder #Ammy_Tv//Yanga fansπππ°π°//Story fans //Volleyball playerππ// the blues #Chelsea fanπππ¦::
Jaji Chande ni takataka kabisa
Anasema kwamba chanzo cha watu kutekwa ni CHUKI ZA kimapenzi na USHIRIKINA.
Kwamba kaka angu MDUDE alikuwa anateswa na mapenzi?
Kwamba MZEE wetu kibao alikuwa anateswa na Mapenzi?
Mdogo angu @DEUSDEDITHSOKA alikuwa anateswa na mapenzi?
Kwamba Polepole alikuwa anasumbuliwa na MAPENZI?
CHANDE anasema waandamanaji salasala walikuwa na SIME , mapanga, hizo video na ushahidi wa hayo yote upo wapi?
Sisi tuna ushahidi wa VIDEO askari na vyombo vya usalama wakiwa na SIRAHA ZA MOTO wakiuwa watanzania.
Acha kuleta maneno matupu we kuma.
Huyu mzee ndo alikuwa jaji mkuu basi kama kweli huyu lazima amefunga watu wengi sana maana mzee naona kabisa Haki haijui kabisa.
Yani waandamanaji walilipwa na aliwalipa nani hizo 10000,50000. Aisee nimeumia sana dashπ
Eti chanzo cha watu kutekwa ni CHUKI ZA kimapenzi na USHIRIKINAβCHANDE ni KYANDE mamae.
Kwamba Mwanangu MDUDE alikuwa anateswa na mapenzi?
Kwamba MZEE kibao alikuwa anateswa na Mapenzi?
Kwamba Pole pole Alikuwa anasumbuliwa na MAPENZI?
Hii RIPOTI imekuja kutonesha vidonda vyetu.