Sio tu watatwaa hili taji la EPL bali nimeanza kuwa na wasiwasi watakuwa Invincible na hivi mtetezi wetu Pep ambaye huwa anawajulia kuwashona hayupo basi daah, tafrani 🤔🤔😀
Sidhani kama kuna timu ya wanawake bongo inaongoza kwa kuuza wachezaji nje ya Africa zaidi ya Yanga Princess kila mwaka Inauza si chini ya wachezaji watatu kwenda nje
Makombe sio kipaombele Chao wao wanauza tu 🙌
David Raya in his 37 Champions League appearances for Arsenal:
◎ 88 saves
◎ 21 goals conceded
◉ 20 clean sheets
He's saved 80.2% of the shots he's faced. 🧤