Top Tweets for #AYUBU
Sote tunategemea pumzi kutoka kwa Mungu.
Tajiri na maskini wote hawawezi kununua pumzi kwa uwezo wao. Mungu akiondoa pumzi, maisha yanafika mwisho.
#Ayubu 34:14–15
" Wenye mwili wote wataangamia pamoja, Nao wanadamu watarejea tena kuwa mavumbi."
#Ayubu 38:4, Mungu alimuuliza Ayubu:
“Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi?”😃😃😃😃😃😃
Ila MUNGU ana maswali magumu sana
#Ayubu 19:25
“Lakini mimi najua ya kuwa mtetezi wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.”
Mtu Mkuu Ayubu!!
Ayubu hakujua kwa nini majanga yote yale yalimpata. Kupoteza watoto n.k.
Lakini pamoja na kutokuelewa mambo hayo yote, alijua kwamba Mtetezi wake alikuwa hai
"Maana mti ukikatwa lipo tumaini la kuota, waweza kuchipua tena.Japo mizizi yake itazeeka udongoni, na shina lake kufia ardhini,lakini kwa harufu tu ya maji utachipua; utatoa matawi kama chipukizi."
#Ayubu 14:7-9
"Utakuwa na ujasiri maana lipo tumaini; utalindwa na kupumzika salama."
#Ayubu 11:18
Nakuombea kwa Mungu alie hai usiku wa leo akakulinde ulizi wake uwe juu yako.
#Ayubu 13:15
"Ingawa ataniua, bado nitamtumaini"
Tutakutumaini MUNGU siku zote kwenye maisha yetu haijalishi utapotupitisha
#Ayubu 9:19
"Kama ni suala la nguvu, yeye (MUNGU) ni mwenye
nguvu! Kama ni suala la haki, ni nani awezaye
kumwita (MUNGU) mahakamani?"

Last Seen Hashtags on Sotwe
randomchat(*)*******filter:videos
陸奥こまろ生誕祭2026
Seen from Argentina
hot
Seen from Netherlands
uncle gay
Seen from Switzerland
oubing
Seen from Thailand
snapchattt
Seen from Canada
african leaks
young ((((()))))
snapchat(())********************* filter:videos
Seen from United States
unexpected(())+filter:videos
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers

