Top Tweets for #Azamfc
HATTRICK OKKELOOOβ½
gooooollllllllllllll.
β½ Young Africans S.C. 3-0 TRA United F.C.
β½οΈ Mfungaji: Okelloβ½β½ β½
#areehinjinia
#LigiKuuYaNBC
#NBCPL #YangaSC #SimbaSC #AzamFC

Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zinaendelea, #Yanga inaongoza ikiwa na alama 69 baada ya kuifunga #AzamFC magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan, #Simba ipo nafasi ya pili kwa kuwa na alama 67 baada ya kuifunga #MtibwaSugar magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Michezo imepigwa leo Juni 24, 2026, kila timu imesaliwa na michezo miwili, Simba itaivaa Singida Black Stars na KMC wakati Yanga itacheza dhidi ya TRA United na JKT Tanzania.
MATOKEO YOTE YA MECHI ZOTE
Yanga 3-0 Azam FC
Mtibwa 0-3 Simba
Singida BS 3-1 TZ Prisons
TRA United 1-1 Coastal Union
Dodoma Jiji 0-0 JKT Tanzania
Pamba Jiji 0-2 Mbeya City
Fountain Gate 0-1 Mashujaa
KMC 2-3 Namungo
Zaidi tembelea https://t.co/MLLXDTKSK6
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zinaendelea, #Yanga inaongoza ikiwa na alama 69 baada ya kuifunga #AzamFC magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan, #Simba ipo nafasi ya pili kwa kuwa na alama 67 baada ya kuifunga #MtibwaSugar magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Michezo imepigwa leo Juni 24, 2026, kila timu imesaliwa na michezo miwili, Simba itaivaa Singida Black Stars na KMC wakati Yanga itacheza dhidi ya TRA United na JKT Tanzania.
MATOKEO YOTE YA MECHI ZOTE
Yanga 3-0 Azam FC
Mtibwa 0-3 Simba
Singida BS 3-1 TZ Prisons
TRA United 1-1 Coastal Union
Dodoma Jiji 0-0 JKT Tanzania
Pamba Jiji 0-2 Mbeya City
Fountain Gate 0-1 Mashujaa
KMC 2-3 Namungo
Zaidi https://t.co/MLLXDTKSK6
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

π Azam FC wameharibu 'SCRIPT' ya kupata KARIAKOO DERBY nyingine msimu huu baada ya kuwafunga Yanga SC 3-2 kwenye mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup. πππΎ
#YangaSC #YoungAfricansSC #AzamFC #CRDBFederationCup #SimbaSC #Lol #Tanzania #Soka

MWANZA: Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2026 inatarajiwa kuzikutanisha #Simba dhidi ya Azam FC, hiyo ni baada ya #AzamFC kuichapa #Yanga Magoli 3-2 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.
Katika mchezo huo ambao umechezwa kwa dakika 120, baada ya matokeo ya 2-2 katika dakika 90, muda mwingi Azam FC ilicheza pungufu kutokana na mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu.
Mdau, unadhani kombe litaelekea Msimbazi au Chamazi?
Zaidi https://t.co/ZNzhjL6zqY
#JamiiForums #JFSports

Ligi kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League) inaendelea Leo kwa michezo mitatu ambayo unapaswa kuibetia, upige pesa! ππΉπΏπ₯
Tumia link π hii au SportyBet App kuweka mkeka wako sasa CHAP!
https://t.co/rsUlkV8se3
#NBCPL #LigiKuu #NBCPremierLeague #Tanzania #AzamFC #NamungoFC #CoastalUnionfc #FountainGatefc #Tanzania #soka

π¨π¬ππ£ ππππππππ: #Yanga SC has started official talks with midfielder #JamesAkaminkoβs management to sign him for next season from #AzamFC.
Akaminkoβs contract with Azam FC expires at the end of this season.
The process has begun. βοΈπ»

ARUSHA: Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa Timu ya Simba katika mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Bara, hiyo ni baada ya kulazimishwa matokeo ya 0-0 dhidi ya TRA United kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Mchezo mwingine wa Ligi, Mbeya City na #AzamFC zimepata matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara.
Matokeo hayo yanaifanya Simba kubaki nafasi ya pili ikiwa na pointi 36 katika michezo 17, ipo mbele ya Azam FC yenye alama 34 kwenye michezo 18, huku #Yanga ikiongoza kwa kuwa na alama 44 katika michezo 18. Upande wa TRA ipo nafasi ya 7 kwa alama 25 michezo 18.
Soma https://t.co/BbXezQzArU
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

Unabeti vipi leo hapa?π€ͺβ½πΉπΏ Tumia link π hii kuweka mkeka wako wa Ligi Kuu ya NBC!
https://t.co/zBj2GZ27dL
#LigiKuu #SimbaSC #AzamFC #NBCPL #MbeyaCityFC #TRAunited #NBCPremierLeague #Soka #Tanzania

Unabeti vipi leo hapa?π€ͺβ½πΉπΏ Tumia link π hii kuweka mkeka wako wa Ligi Kuu ya NBC!
https://t.co/zBj2GZ27dL
#LigiKuu #SimbaSC #NBCPL #AzamFC #Mashujaafc #PambaJijiFC #NBCPremierLeague #Soka #Tanzania

π£οΈMnakubaliana naye kuwa hili lilikuwa ni tuta (penati) halali kabisa kwa Yanga?π€β½
#LigiKuu #PrinceDube #DarDerby #DaresSalaamDerby #AzamFC #YangaSC #Tanzania
DAR ES SALAAM: Mchezo wa #AzamFC dhidi ya #Yanga umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, timu zote zikishambuliana kwa zamu.
Baada ya matokeo hayo, Yanga imeendelea kubaki nafasi ya kwanza ikiwa na alama 36 katika michezo 14, Azam ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 28 katika michezo 14.
Fuatilia zaidi https://t.co/oTpxMhcT5v
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

Last Seen Hashtags on Sotwe
ΩΨ³Ω_Ω
Ψ΄ΨͺΩΩΩ
nolimit() +filter:native_video
Seen from Canada
nolimit nolimit()*+filter:native_video
Seen from Italy
μΈμ²μλ
Seen from Korea
bhabhi nude
Seen from Turkey
Ω
ΩΩΨ§_ΨΨ΅Ψ±ΩΨ§Ψͺ
Seen from Singapore
trannycock
Seen from Israel
amadores
Seen from Netherlands
tlmcoswan
Seen from United States
EastZuu
Seen from Indonesia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.8M followers















