Top Tweets for #BFAtz
The joy of life is not measured by things but by the love we share with others. A child’s smile has the power to change the world—let’s fill their hearts with happiness, hope, and love always!
#bfatz

BFA Dodoma ilitoa msaada kwa wahitaji 115 katika Shule ya Msingi Kichangani, Bahi, tarehe 08/01/2025, ikiwa ni pamoja na vifaa vya shule. Walishirikiana na uongozi wa shule na jamii kuleta mabadiliko chanya. Shukrani zimetolewa kwa BFA Taifa na wanachama kwa michango yao.#bfatz

Jamii inapaswa kujenga mazingira salama ya kisaikolojia kwa watoto, ikiwemo uhusiano mzuri na wazazi. Msaada wa kisaikolojia na elimu ya afya ya akili husaidia kukuza ufaulu wa watoto shuleni!!
#bfatz

"Creating a safe environment for our children and supporting their health and mental well-being is key to their success in school and life.
When we care for their physical and emotional needs, we help them grow strong, focused, and ready for the future."
#bfatz

Furahi Day
Ni wakati mzuri sana kwa watoto kufurahi na kucheza pamoja na mwalimu wao.
Hii ni njia nzuri ya kuimarisha uhusiano wao na kuongeza upendo kati yao. Kucheza pamoja husaidia kuondoa msongo wa mawazo na kuwafanya wajisikie vizuri.
#bfatz

It's ChooseDay 😌
And in this week, We Choose Sports!
BFA provides a platform where kids who don't get enough time for participation in sports can also help develop social skills, confidence, and self-esteem.
Let's keep up with the spirit.🔥
TuesdayHealthTips
#bfatz

Habari wapendwa,
Annet anawakaribisha nyote kuhudhuria General Gathering ya mwaka huu itakayofanyika
📍Arusha 🗓️ 27 Septemba 2024.
Katika General Gathering ya mwaka huu, tutafanya Matendo Mema (Charity) kwa ajili ya kugawa vifaa vya shule kwa watoto wenye uhitaji.
#bfatz
"A passionate leader inspires young minds, encouraging them to dream big and believe in their potential. Together, we are shaping a brighter future for our communities."
_This is what Builders of Future Africa stand for._
*Education is the foundation of empowerment.*
#bfatz

Welcome to our BFA general gathering in Arusha on September 27th under the theme *'Be Kind, It's Contagious.'*
This is a special opportunity to connect with fellow youth, discuss our shared goals, and celebrate with the children we’re impacting. Let's return their smiles
#bfatz
"Your unwavering commitment is truly inspiring. Your efforts touch lives and hearts. Wishing you endless blessings and abundant joy in return for your selfless acts of kindness.
#bfatz
"Creating joyful moments and building bonds that last a lifetime. These small acts of kindness make a big difference in children's lives, providing them with love and support.
#bfatz

"Get ready for an unforgettable gathering!
Join us for the next BFA Gathering filled with excitement and surprises. Don't miss out on this incredible event that promises to bring the BFA
Family together and create lasting memories. Mark your calendars and stay tuned #bfatz
Happy children are more likely to engage in positive social interactions and perform better academically, contributing to their overall development and well-being.Happiness is associated with lower levels of stress hormones, which can improve overall physical health.
#bfatz

Every child needs a champion: an adult who will never give up on them, who understands the power of connection and insists they become the best they can possibl, and here is our adult champion @_regina_mlay
#bfatz

Kila mtoto anahitaji mazingira safi na salama ili kukua kwa afya. Tuungane kuboresha maisha yao kwa kutoa elimu kuhusu usafi na afya. Watoto wakilelewa katika mazingira safi, wanakuwa na nafasi kubwa ya kuepuka magonjwa. Hebu tushirikiane kuwawezesha kwa pamoja #bfatz

Elimu si tu kuhusu kusoma na kuandika. Ni kuhusu kujenga akili na moyo wa mtoto, na kuwapa uwezo wa kuwa raia wenye mchango mkubwa kwa jamii. Jiunge nasi katika kuwapa watoto elimu bora”
#bfatz

Mazungumzo yenye hekima na uwazi yanaweza kubadilisha maisha ya mtoto. Pamoja tunaweza kuwasaidia watoto wetu kuelewa njia bora za kufikia ndoto zao #bfatz

Uwezeshaji wa watoto unaanzia kwa Kupitia mazungumzo yenye matumaini, kwa kufanya hivi tunajenga jamii yenye nguvu. Kila mtoto anastahili kusikilizwa na kupewa upendo. Pamoja tunaweza kubadilisha maisha yao.#bfatz

In a world that can often be harsh and unforgiving, being kind to children is a powerful way to make a positive difference
"Kind words can be short and easy to speak, but their echoes are truly endless."~ mother Teresa
#bfatz

It’s Friday, let’s renew our commitment to freeing children from unhappiness and giving them the chance to grow well. Through education, health care, social support, and inclusivity, we can create a world where every child has the opportunity to reach their full potential.#bfatz

Last Seen Hashtags on Sotwe
Maturebikinimodel
Seen from Turkey
นัดเย็ดบึงกาฬ
Seen from Thailand
hotblonde
Seen from United States
adamevehotel
Seen from Turkey
ด้านมืดของแม่
Seen from Thailand
ไซด์ไลน์ภูเก็ต
Seen from Thailand
연예인능욕
Seen from Korea
omegle show
NaturePhotography
Seen from France
xlii #exny #nolimit() +filter:native_video
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



