Top Tweets for #BankSetup

Want to start receiving your earnings on cluster?
Learn how to easily link your bank account to your cluster profile in just few steps! Watch this quick tutorial and get set up minutes.
#cluster #banksetup #Tuesday #bank #income #finance #socialmedia #TREASURE
Want to start receiving your earnings on Cluster? Learn how to easily link your bank account to your Cluster profile in just a few steps! Watch this quick tutorial and get set up in minutes.
No stress. No delays.
#ClusterTips #GetPaidOnCluster #ClusterEarnings #BankSetup
The central bank has asked for applications from those interested in establishing a digital banks.
#BangladeshBank #digitalbanking #digitalbank #digitalbankingsystem #BankSetUp #TBSNews

-Muda gani mzuri ungie sokoni.
- % ngapi setup itakua na ve+ probability.
Nimetumia muda na gharama zangu zote kuijua hii strategy ambayo in hivi vitu vyote.
#BankSetup.
Usiendelee kukomaa na Support & Resistance kila siku.
Join darasa la BankSetup Leo.
Ni DM Sasa hivi
Newbies baada ya kujifunza Fx Trading Basics nguvu kubwa unatakiwa uweke kwenye ku master haya maeneo ma 3.
-Technical Analysis
-Risk Management
-Trading psychology
Ndio maana Course yangu nafundisha kwa umakini haya maeneo.
Kama bado hujajifuza strategy yangu #BankSetup 👇

Hii account nili deposit $43 kama unavyoona hapo, siku 4 Leo nime 10x account.
Kufika December, hii account nataka niipeleke mpka $1,000, ikifika $1,000, $10,000 fasta tu.
Moral ya hii tweet! Ku trade account ndogo unapaswa uwe na experience ya kibabe sana.

Utachukua maamuzi gani kwenye hii trade👇
I/ utafunga trade uondoke na profits.
II/ utaacha ifanya inachotaka yenyewe.
III/ utaongeza positions zaidi.
P.s. kumbuka nimesha break even.
Ukichagua jibu toa na sababu😂😂
$EURJPY
#BANKSETUP

Ukimpa rafiki yako samaki atakula siku moja.
Ukimfundisha namna ya kuvua samaki mwenyew atakula samaki maisha yake yote.
Nikikufundisha #BankSetup Fx Strategy utakuwa umejua namna ya kutengeneza Profits mwenyewe.
BankSetup Masterclass kwa Watu 15 serious.
Huwezi kuwa na trading psychology/mindset iliyotulia kama hauna trading strategy ya uhakika.
Traders wengi hawatulii sokini kwa sababu ya kukosa system nzuri sokoni.
#BankSetup
#Strategy
#BankSetup ni trading strategy inayo tumiwa na institutional trader's kama vile Bank trader's, hedge fund trader's, insurance traders.
Hawa trader ndio wana control price movement, lengo la hii strategy ni ku Trade sawa na hawa big sharks.
20. Tarehe 1 mwezi wa 10, mwaka 2022. Nitafanya Masterclass ya kibabe Sana na ya mwisho kwa mwaka huu.
Masterclass ni kwajili ya trader's wanao struggle kupata consistency profits sokini, strategy yako sio ya uhakika.
Nitafundia strategy yangu mwenyewe. #BANKSETUP STRATEGY.
Kama unahaingaika na strategy yako, hauna trading strategy nzuri,
Huna haja ya Kuni DM Leo kufanya 1 v 1 training ya #BankSetup strategy.
P.s sio free ila itakusaidia sana.
namna hii basi utakua na confidence hatari sana sokoni.
Mimi nikiwa sokini najiamni sana najua nikiwa sahihi strategy yangu inaniambia na nikikosea pia inaniambia.
Baada ya kuumizwa kwa mda mrefu nikaa chini kuunganisha strategy tofauti nikaja na #BankSetup trading strategy.
#BankSetup.
Combination of of Three strategy
1.Price Action
2. Market markers code
3. Order flow
@sundey_fx Which is ...
#Banksetup ebook ita covers part muhimu za trading
•Trading system
•Risk Management
•Trading psychology.
Nipo naipika, nataka mtu akisoma #BankSetup ebook moja kwamoja kwenye trading.
Tuwe wavumilivu tu.
@sundey_fx Bank ebook lini mshua
Nimetengeneza $900+ ndani ya mwezi wa 6, kwa kutumia BankSetup Trading Strategy kwa mtaji wa $200.
Nimekuwa nikifanya hivi mara kwa mara kwa kutumia hii Strategy.
#BankSetup
Kama hii tweet itapata rts 199, nitatoa course ya hii strategy hapa Tweeter free kabisa.
Go👇

Kama ningeweza kurudisha siku nyuma kipindi na struggle na Fx Trading,
Basi ingejifunza vitu vi 5 tu.
1. Fx Trading Basics.
2. Fundamental Analysis
3. Technical Analysis #BankSetup
4. Risk Management
5. Trading Psychology
My Favorite Time Frame For #BankSetup Trading Strategy.
Monthly - H4 - Top - Down Analysis.
H4 - Market Structure
D1-W1 - Momentum
15 - Entry
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.8M followers





