Top Tweets for #BeatChoice
Here is our East Africa Playlist for your weekend.
#beatchoice
#eastfricacruise
https://t.co/uH1DdnpQjC
Nimkwandalia mikwajju 20 kutoka Africa Mashariki ๐น๐ฟ๐ฐ๐ช๐บ๐ฌ๐ท๐ผ๐ธ๐ธ๐ง๐ฎ ya weekend.
New entry ni wimbo wa B2k Mnyama Ft Vanilla at #20.
#beatchoice
https://t.co/c4HzLsR2FP
Nimekwandalia playlist ya Cha kufanya nikugusa tu link apo. Anyway enjoy ๐.
Najua ua mnapenda muziki wa singeli sema hamtaki kuonyesha ๐๐๐
#beatchoice
https://t.co/nXxJGGHhBS
Aya wanangu wa bongo rap kuna li playlist apa. Listen and enjoy ๐
#BeatChoice
https://t.co/PL3bfDBkg2
Sikiliza hii play list, trust me it will brighten your day.
#BeatChoice
#supportOurown
https://t.co/Jwds6MqvTV
Apo ulipo asaivi jaribu kufanya hivi, kichwani mwako chukua mistari ya NARINGA by Zuchu then kaivalishe katika beat ya wimbo HUKU wakwao Tommy Flavor na Kiba.
Kama umetoa hit song katika io mix then unaujua muziki mzee baba ๐ฅ
#BeatChoice

Maana tunapenda kulinganisha, kushindana, bifu, ma ungonvi. Someone tell Tanzanian promoters (if at all we have any ๐) to think out of the box
Niliwahi kusema wasani wa majirani zetu hawana katika digital platforms hawafanyi vizuri lakini wana maokoto kama yote.
#BeatChoice
Kuna brand new hit kutoka kwa Malikia BWIZA all the way from +250 ๐ท๐ผ๐ท๐ผ ngoma inaitwa #AreYouOk available on all digital platforms. Check it out ๐
#BeatChoice #kikacMusic
https://t.co/LqnBpPhmU9

Pale kuna 254 ๐ฐ๐ช๐ฐ๐ช kuna mwamba anaitwa NAIBOI huyu jama aseee producer, writer halaf anaimba pia na mikwajju yake ni hatari ๐ฅ๐ฅ
#BeatChoice

Bebecool ndie boss wa lebo inayofamika kama GAGAMEL Entertainment. Huyu ni legend wa muziki kwa majirani infact nchini mwao yupo ranked msani namba moja kwa takribani miaka 10+
#BeatChoice.
Collaboration ipi ya BERNABA CLASSIC ilinoga zaidi?
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
#BeatChoice

Diamond platinumz, kuna mikwajju yake haipiti siku bila kusikiliza. Ngoma kama;
1. My heart X CassperNyovest
2. Watora Mali X Jah prayzer
3. Kanyaga
4. Why X The Ben
5. Kwangaru X Harmonize
6. Sound X Teni
Actually hizi ndio fav zangu of all time. sasa... ๐
#BeatChoice

Donjazzy kafanya sajili jipya msani wa kike anaefamika kama
LIFE SIZE TEDDY rapper, poet & singer.
Io promo ya utambulisho wake muliiona? ๐๐ฅ (nimekuwekea katika comment section)
Dah! Wenzetu wapo mbele ya mdaa.
#Mavin
#BeatChoice

Badhi ya mikwajju iliotikisa Radio waves za EastAfrican media houses.
What was your fav?
#tbt
#strictlyEastAfrica
#BeatChoice

Last Seen Hashtags on Sotwe
nolimit()*****
Seen from France
cryptotrading
Seen from Indonesia
turntexasblue
Seen from United States
hung #twink
Seen from Algeria
ganbarenakamurakun
Seen from United States
nolimit nolimit
Seen from Germany
lendirnikmat
Seen from Indonesia
filmphotography
Seen from Korea
omegle() +filter:media
Seen from Denmark
malatyatravesti
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.4M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.7M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.6M followers


