Top Tweets for #BegaKwaBega
@jimNjue_ Ukweli tu! Tumekuwa tukimfanya kuruka sana. Moses Kuria anafaa apewe yellow card kabisa. Arrogance haichezwi kwa pitch ya wananchi. #BegaKwaBega
Hongereni sana sanaaa washindi wetu wa Sako kwa bako meme π. Hakika sisi na wateja wetu tuko #sakokwabakoπ #begakwabega #pasinakuachana
Hongereni sana sanaaa washindi wetu wa Sako kwa bako meme π. Hakika sisi na wateja wetu tuko #sakokwabakoπ #begakwabega #pasinakuachana
Fundraising has provided football gear to our partner school. This united local schools and led to matches with Mshikamano Primary School's girls' team. They're geared up and grateful for our community's support. #BegaKwaBega #ackworthhowardtanzania

@CdcTanzania with @mdh_tanzania in collaboration with @wizara_afyatz supports monitoring and tracing new cases of #marburg in Kagera Region. CDC Tanzania is committed to making sure Tanzanians are safe and healthy.
#TukoPamoja #ZuiaMarburg #BegaKwaBega

@CdcTanzania, @wizara_afyatz, @ortamisemitz, and Uganda counterparts visited Mutukula One Border Post secondary screening tent and Uganda mobile lab to enhance #marburg detection and screening.
#TukoPamoja #ZuiaMarburg #BegaKwaBega

Thank you so much Development Partners Group on Health for the great support and partnerships in our response to Marburg outbreak in Tanzania. #PamojaTunaweza #ZuiaMarburg #BegaKwaBega
Waziri wa Afya, Mhe. @ummymwalimu leo Aprili 4, 2023 amekutana na wadau wa maendeleo, Azaki za Kiraia na Mashirika ya kimataifa na kujadiliana masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kuendelea kukabiliana na ugonjwa wa Marburg.

Mwenye matokeo ya mechi ya @yangasc1935 @Madeeseneda anayaomba hapa.
Wakati chama lake linacheza yeye alikuwa anawachezesha Wananchi wa Kibaha.
Cc @elimuyaafya
#MzikiMneneKibaha #UjanjaKuchanja #BegaKwaBega #PwaniInachanja #KibahaInachanja

πΉπΏ Taifa moja na shughuli ni moja nayo ni #MzikiMnene wa Waswahili wa Kibaha Maili Moja.
Cc @elimuyaafya #MzikiMnene2022 #MzikiMneneKibaha22 #UjanjaNiKuchanja #BegaKwaBega

Shuhudia matukio katika picha ya tamasha la elimu na uhamasishaji wa afua za kinga ya magonjwa ya kuambukiza na yale yasiyo ya kuambukiza Jijini Tanga.
#BegaKwaBega #UjanjaKuchanja
@SuluhuSamia @ummymwalimu @dr_mollel @wizara_afyatz

Mgeni Rasmi Waziri wa Afya na Mbunge wa Tanga Mheshimiwa @ummymwalimu akizungumza na Wakazi wa TANGA hapa Uwanja wa Usagara na Kuwakaribisha Rasmi Kushuhudia Burudani Pamoja na Elimu ya Afya Ikitolewa kwa Wakazi wa Tanga. Tanga imehamasika.
#UjanjaKuchanja #BegaKwaBega
Waitwe mafundi wa kuweka rekodi kwenye vitabu wayashuhudie mahaba haya kisha waandike makala ya Tanga kuendelea kuzivunja rekodi zao wenyewe
Cc @elimuyaafya @ummymwalimu
#MzikiMneneTanga22 #UjanjaKuchanja #BegaKwaBega #TangaInachanja #Tanga
Mgeni Rasmi Katika Tukio Kubwa la leo ni Waziri wa Afya na Mbunge wa Tanga Mheshimiwa @ummymwalimu Tayari Amewasili Hapa Uwanja wa Usagara Kushuhudia Burudani Pamoja na Elimu ya Afya Ikitolewa kwa Wakazi wa Tanga
Washtue Wanao wote kwamba Show Imeanza Rasmi
#BegaKwaBega

KWA HERI JUA KARIBU USIKU MNENE WENYE VIBE MWANZO MWISHO
Hayakuzaliwa MAPENZI tu Tanga burudani imezaliwa huku pia. Hawakai chini Waswahili kwenye shughuli yao walianza na jua kali wanasema wapo hadi usiku mnene.
@elimuyaafya
#MzikiMneneTanga22 #UjanjaKuchanja #BegaKwaBega

Unaweza kumtambua msanii huyu?
DONDOO: Ameiyaimba mapenzi, Akaimba Starehe, Ameyaimba maisha ya jela akaimba kuhusu pesa. Ni shabiki wa @SimbaSCTanzania yupo hapa Usagara anauongelesha muziki.
Cc @elimu_ya_afya @ummymwalimu
#MzikiMneneTanga22 #UjanjaKuchanja #BegaKwaBega

Kazi inaendelea, Tanga inachanja.
#MzikiMneneTanga22 #UjanjaNiKuchanja #BegaKwaBega #TangaInachanga
#MzikinaChanjoKinganiBurudani
@wizara_afyatz @ummymwalimu @dr_mollel
MZIKI MNENE 2022 TANGA | DISEMBA 10 | USAGARA | HAKUNA KIINGILIO

Kiukweli nitakua muongo nikisema Mara ya mwisho ni lini kuwahi kuwaona wazee wakicheza bao, Kwa kipindi cha muda mrefu leo nimewaona wazee wangu hapa βNyamalambaβ wakicheza mchezo huu na wameenda kuchanja ili kuhakikisha wote wanakuwa salama.
#UjanjaNiKuchanja #BegaKwaBega

Nyani Zee 'MR BLUE' linatua kwenye hifadhi ya burudani Magugu Babati.
#MzikiMneneManyara22 Itakuwa noma stage itakaposhambuliwa na Byser π₯π₯π₯
Cc @wizara_afyatz @elimuyaafya @ummymwalimu
#MzikiMneneManyara22 #UjanjaNiKuchanja #BegaKwaBega
HAKUNA KIINGILIO

MJI WA DAUDI UNACHANJAβ
Tupo Mbulu TC kituo chetu cha kwanza cha Mziki Mnene ni Daudi.
Tunasisitiza popote ulipo hakikisha unapata chanjo hii ya hiari kwenye kituo cha afya.
Cc @wizara_afyatz @elimuyaafya @ummymwalimu
#MzikiMneneManyara22 #UjanjaNiKuchanja #BegaKwaBega

Msikilize Mkuu wa Wilaya ya Singida Eng. Paskas Mlagiri akitoa hali ya mwenendo wa utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 Wilayani Singida.
#BegaKwaBega #UjanjaKuchanja
Last Seen Hashtags on Sotwe
xiaro r34
minichat
Seen from United States
Spycam()
Seen from Algeria
minichatt(*)()(****)filter:videos
Seen from Turkey
missionary((())) +filter:native_video
mgai(*)***+filter:native_video
Seen from Netherlands
mgai() filter:videos since:2026-03-19
Seen from Australia
theloudhouse
Seen from United States
tΓΌrkifΕa() filter:videos
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers






























