Top Tweets for #BigBrainWriter
— William H. McRaven, Kamanda Mstaafu wa Jeshi la Majini la Marekani “Mwenye Nyota 4” na Kiongozi wa Kamandi ya Operesheni Maalumu za Marekani (SOCOM).
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi
“Kwasasa, serikali ya Netanyahu haina mipango wala haijui namna bora ya kushinda vita vyovyote. Siyo Gaza wala Lebanoni, hakuna wanaposhinda”
— Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa Zamani wa Israel.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

Badala yake, wanakwenda kuwa wahanga/sadaka wa ndoto potofu za Netanyahu”
— Mohammad Bagher Ghalibaf, Spika wa Bunge la Iran.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi
“Kwetu sisi Wayahudi, sheria za kimataifa hazifanyi kazi. Huo ndo utofauti kati ya watu waliochaguliwa na Mungu na wengine”
— Bezalel Smotrich, Waziri wa Fedha wa Israel.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

“Msimamo wangu uko wazi daima. Siwezi kamwe kuunga mkono vita, binafsi niko pamoja na watu wa Gaza na Iran. Ninapokea ujumbe kutoka sehemu mbalimbali duniani unaosifu msimamo huu wa Hispania”
— Pedro Sánchez, Waziri Mkuu wa Hispania.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter

“Tunatakiwa kuelewa na kuwekana wazi kwamba mhusika mkuu ambaye amesababisha kutokea kwa hii vita na kuuingiza ukanda wetu wote katika mgogoro usio na kichwa wala miguu ni Israel”
— Hakan Fidan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter

“Nadhani vita hivi vimechagiza, kuchochea na kuongeza ushawishi zaidi wa mabadiliko ya utawala ‘Regime Change’ ndani ya Marekani kuliko Iran”
— Joe Cirincione, Mchambuzi wa Masuala ya Usalama wa Taifa nchini Marekani.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

Kama wanataka upatanishi, basi wanapaswa kuwawajibisha wale waliowadharau watu wa Iran na kuanzisha vita dhidi yetu”
— Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran🇮🇷
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi
“Tutaendelea kuzifumua kambi za kijeshi za Marekani na laiti kama majirani zetu wanataka suluhisho, basi wahakikishe wanaziondoa kambi hizo nchini mwao”
— Ebrahim Azizi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Usalama wa Taifa nchini Iran🇮🇷
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter

Tutawapa somo litakalowaumiza kwa maisha yao yote”
— Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi
“Wanapambana sana kutulazimisha tuwapigie magoti lakini haitatokea hata siku moja kupiga magoti mbele yao. Kama hatukufanya hivyo miaka mingi iliyopita, hata sasa hatutapiga magoti kamwe”
— Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran🇮🇷
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

“Wale waliotuumiza, kutunyonya, kutubagua na kutufanyia mambo mengi meusi, hawawezi kamwe kuwa marafiki zetu”
— Thomas Sankara, Baba wa Taifa la Burkina Faso.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

“Tukiamua kuwashtaki na kuwafunga watu wote waliohusika kwenye mafaili ya Epstein, mfumo mzima utakufa”
— Pam Bondi, Mwanasheria Mkuu wa Marekani
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

“Ni kweli kabisa, Marekani ndiyo taifa pekee lenye nguvu kubwa zaidi ndani ya NATO lakini utu wetu hauna bei (hauuzwi). Sisi siyo watumwa”
— Bart de Wever, Waziri Mkuu wa Ubelgiji🇧🇪
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

“Hata hao Urusi ambao kwasasa wanapambana na majeshi ya NATO, hawaujui utamu na uzoefu wetu wa kivita”
— Jenerali Amir Hatami, Mkuu wa Majeshi ya Iran.
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

Kuweka majeshi yao karibu na maeneo yetu, wala hawatutishi hata kidogo”
— Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi
“Kama kuna mtu bado anaamini kuwa Umoja wa Ulaya au Ulaya kwa ujumla inaweza kujilinda bila Marekani, basi aendelee kuota. Haiwezekani. Hatuna uwezo wa kujilinda bila Marekani”
— Mark Rutte, Mkurugenzi Mkuu wa NATO
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

“Nilikuwa nadhani kwamba Israel ni jimbo la 51 la Marekani, lakini baada ya kufanya ziara kama mbili, niligundua kuwa Marekani si chochote, ni kama mkoa tu unaotawaliwa na Israel”
— Jacques Chirac, Rais wa Ufaransa (1995–2007)
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GloboPolitiksi

“Nimeshuhudia makaburi mengi ya wale waliokataa kupigania haki kwa kuogopa kufa kuliko wapigania haki wenyewe”
Ernesto “Che” Guevara—Waziri wa Viwanda, Cuba (1961–1965)
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #GlobalPolitiksi

“Namshauri Zelensky akubaliane na Urusi kwa maana Urusi ni taifa kubwa sana na tishio duniani. Urusi wana nyuklia na silaha nzito za kivita”
— Donald Trump, Rais wa Marekani 🇺🇸
#SiasaMakiniUPDATES #BigBrainWriter #palestineisraelwar

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.2M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
