Top Tweets for #Bongo5

#Repost @aeausa Ipigie kura #Bongo5.com ..! Utaratibu umeelezwa kwenye Instagtam ya @aeausa
BEST DIGITAL NEWS PLATFORM
https://t.co/6d67pxLfwa - @bongofive
"Harmonize alinambia nitafute gari aninunulie, Ile napata gari nikamfuata akaniambia ana mood mbaya." Bonga
#Bongo5
Hili huyu Harmonize ana nyodo sana. Au namna gani wapwa?

KIJANA ATUMIA KODI YA NYUMBA KUCHORA TATTOO YA WEMA SEPETU.
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Papamafido ametumia kodi ya nyumba na kulazimika kulala nje baada ya pesa hiyo kwenda kuchorea ‘TATTOO’ ya Wema Sepetu.
#Bongo5

#Bongo5Updates: Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Magufuli akiwa katika ukumbi wa JNICC DSM ambapo anakutana na viongozi na watendaji wote wa CCM na Jumuiya zake ngazi ya Mikoa na Wilaya.
#MATANGAZO HAYA YAPO #LIVE KUPITIA AKAUNTI YETU YA YOUTUBE YA #BONGO5
Just a reminder that I have the best looking @ernieball in existence. #bongo5 #musicman #ernieball #customshop #mintgreen

#bongo5updates UWASILISHAJI WA UTEKELEZAJI WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI. IKULU DSM
Unaweza kufuatilia Matangazo haya moja kwa moja kupiti You Tube ya #Bongo5 tupo #Live
#bongo5updates UWASILISHAJI WA UTEKELEZAJI WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI. IKULU DSM
Unaweza kufuatilia Matangazo haya moja kwa moja kupiti You Tube ya #Bongo5 tupo #Live
"Kama washambuliaji niliowaona wa Yanga ndio hao wanatarajia kucheza msimu huu kocha anapaswa kufanya kazi ya ziada au aingie tena sokoni kusaka wachezaji wengine. Yanga itacheza mashindano mengi na magumu, sidhani kama wale wachezaji ni hadhi yao" Boniface Ambani #Bongo5
@rayvanny aimba Masozy ya @officialalikiba ,adai hakuna msanii atakayetokea kama @diamondplatnumz , agawa mafuta kwa madereva bajaj na Pikipiki
: Cc @ally_jei @hamzafumo :
Mahojiano yote tumekuwekea katika akaunti yetu ya Youtube ya #Bongo5
Mchezaji wa zamani wa Yanga Ali yusuf Tigana Afunguka haya kuhusu mchezo wa leo wa Simba dhidi ya Al ahly lakini pia ametujuza kuhusu mchezo ambao hatousahau katika maisha yake yote ya soka ambao ulikiwa wa ligi ya mabingwa barani Afrika
Full Interview ipo YouTube ya #Bongo5
@inspector_haroun_babu ‘Babu’ aeleza alivyokutana na @officialnandy kwa Dully Sykes na kumpa nafasi ya kufanya nae kazi.Pia aeleza jinsi alivyokerwa na wasanii waliopata nafasi ya kuongea mbele ya RC Makonda na mwishowe kushindwa kujieleza.
Full Interview ipo Youtube ya #Bongo5
@romyjons Afunguka mwanzo mwisho kuhusu ndoa ya @diamondplatnumz na @tanashadonna na pia kuhusu tabia ya Tanasha lakini pia akieleza sababu ya yeye kuambiwa anamloga Diamond kisa #Diamond kuchora #Tattoo ya jina lake -------------------------
Full Interview iko YouTube ya #Bongo5
@romyjons Afunguka mwanzo mwisho kuhusu ndoa ya @diamondplatnumz na @tanashadonna na pia kuhusu tabia ya Tanasha lakini pia akieleza sababu ya yeye kuambiwa anamloga Diamond kisa #Diamond kuchora #Tattoo ya jina lake --------------
Full Interview iko YouTube ya #Bongo5
Last Seen Hashtags on Sotwe
lust
Seen from Canada
omegle
Seen from United States
spookymonthnsfw
Seen from Indonesia
ukteens
Seen from United States
dryhump #girlongirl
Seen from Italy
monkeyapp
Seen from Germany
보추
Seen from Korea
letscelebratealready
Seen from United States
mom son scene
Seen from Turkey
NOlimit filter:videos
Seen from Germany
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers
















