Top Tweets for #Born2Save
Kwa ambao mnakuja Mtwara, msiofu mtanyoa wapi, tayari #Born2Save Barber Shop imeanza kufanya kazi, wahudumu wenye uzoefu mkubwa. Tuko Kambarange Shangani Mtwara Mjini @ItsKamala @jaliluzaid @MwinyiAMwinyi @FarukuNgonyan . Karibu tuzidi kuwashika mkono vijana

#born2save : Asante Mungu, unazidi kunitumia kama mbegu kuota katika miiba mikali, safari bado ni ndefu lakini bado uko nami. Sasa ninapozidi kuratibu miradi mikubwa 2 kusini mwa Tanzania kama Mratibu mkuu, nazidi kuomba baraka na hekima , asante @globalpeacetz #jamiishirikishi

Michezo mizuri na yenye matokeo mazuri inahitaji mazingira safi na salama, tukipanda miti, tukatunza vyanzo vya maji, hakika tutafurahia michezo yetu. #sportandenvironment #born2save #WaterForPeace #globalpeace #forest #environment @globalpeacetz @unaclimateocean

“If the environment is happy, people will laugh and your grief will go away.”― Srinivas Mishra
@globalpeacetz @unaclimateocean #environment #born2save #volunteer #sportandenvironment

Siku ya uhuru, tunakumbuka tulipotoka, tunaangazia zaidi tunapokwenda #Tanzaniaindependenceday #Tanzania #Peace #born2save

#mentalk : Tunahitaji maneno ya kutambua mchango wetu, tunahitaji tabasamu, tunahitaji ushirikiano wenu, uenda haya mapito mengine tunayopitia mmebeba majibu yake, msiache kutusalimia . #Peacebuilding #born2save #moralleadership #mentalhealthawareness #CommunityPeaceBuilding

#mondaymotivation : Tunaacha tabasamu kwa kila mtu, tunarudisha matumaini na kujali, hauko peke yako , tuko pamoja katika kutimiza ndoto.
💐 Hongera sana akina mama zetu kwa kuendelea kutupambania 🤝🫂
#born2save #womenempowerment #moralleadership #economicempowerment #Tanzania

#sundayBlessed : Leo tunakumbushwa kuwa mbegu zilizomea na kuzaa matunda. #SundayMorning #born2save #bless

📢 Join us for an exciting Zoom meeting tomorrow at 4:00 PM! 🎉
We have a captivating agenda lined up, so don't miss out! Come and be a part of the discussion. 🗣️💻
To register, click the link: https://t.co/KFLWbG92Fw #born2save #beatplasticpollution #climateaction4peace #Peace

#worldoceansday : Mimi na wewe tunaweza kuwa mashujaa wakuokoa viumbe wengi wanaotegemea mazingira ya bahari, tuchukue hatua madhubuti kuzuia na kupunguza uchafuzi wa bahari.❌🚫🚭
#ocean #environment #sportsandenvironment #born2save #Globalpeace #vijananaamani #oceanday

#worldenvironmentday : Zaidi ya miaka 60 tunaposherekea kuanzishwa siku maalumu ya Mazingira ♻️, tunajivunia kuwa sehemu ya uokoaji viumbe wengi wanaotegemea mazingira.
Tuungane zaidi kutokomeza aina mbalimbali za uchafu ikiwemo plastics
#born2save #sportsandenvironment

#history : 'History is written by the victors.' — Walter Benjamin
#wall #tanzaniaunforgettable #tanzania #born2save #youngleaders #philanthropist #peace #football #sportsandenvironment #climateAction #volunteers

: #Happybirthday : Ninamengi ya kusema juu yako Mungu lakini zaidi nasema ASANTE 🙏.
Ni hatua nyingine zaidi hii umenijalia🙏🙏. Naomba baraka zako ziendelee maana safari bado inaendelea.
Happy birthday to me🎂.
#hustle #born2save #birthday #tanzania🇹🇿 #smile #smart

#DoingGoodDay : Ni wajibu wetu kufanya yaliyo mema, leo hii tunapokumbuka siku ya MATENDO MEMA tunatakiwa kuzidi kujitolea kusaidia jamii.
Nimefurahi sana kuungana na wadau mbalimbali kuadhimisha siku hii .
#DoGood #Peace #globalpeace #vijananaamani255 #PeaceBuilding #born2save

#walk4water Jana tuliungana kwa pamoja kwa matembezi maalumu kuhamasisha utunzaji wa mazingira na maji kwa ujumla, tunashukru washiriki wote kutoka sehemu mbalimbali @globalpeacetz @usembassytz #Tanzania #waterDay #peace #volunteers #born2save

Imani ni kuwa na matarajio kwa mambo yajayo na yasiyoonekana, Mungu tujalie tuishi kwa imani siku zote 🙏🙏 #ElimikaWikiendi #ChurchService #Tanzania #love #born2save.

#hustles : Furahia kila hatua unayopiga katika maisha, wengi wetu hatuna damu ya kiarabu kulithi magari, sisi ndo wakubadilisha historia za familia zetu, tuendelee kupambana. @HKigwangalla 🖊️#Tanzania #dream #maisha #born2save

Leo ni siku ya Radio duniani. @CloudsMediaLive @masoudkipanya @IshengomaIrene @chapo255 @EAPhilanthropy #News #Radio #media #Tanzania #born2save


Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers


