Top Tweets for #BudgetTZ
Brian Marwa, Associate, Tax & Legal at Deloitte East Africa shares his thoughts on what Tanzania's 2022 budget could mean for the country's developmental projects.
#AcceleratingRecoverySustainingGrowth #BudgetTZ #BudgetTZ2022

The Tanzania budget season is finally here! Our Business Analyst, Financial Advisory, Kelvin Archibald shares his thoughts on what to expect.
#AcceleratingRecoverySustainingGrowth #BudgetTZ #BudgetTZ2022


Wakati Chadema inatangaza Mfumo wao Mpya wa kidigitali #TunasongaKidigitali Serikali ipo Busy Kuongeza Kodi Kwenye Laini za Simu ili wakiwa wanaenda Huko digitali Washindwe Kwakuwa Kodi Ni Kubwa
#BudgetTZ #BudgetTZ2021
@mBongo @siah_bella @slwendo Tabled Tanzania Budget 2021/22 visualized https://t.co/trdIeLL4vX
#Bajeti2021 #BajetiKuu2021 #BAJETIKUUYASERIKALI #BudgetTZ #BudgetTZ2021
@StandardKenya Kenya vs. Tanzania
Population:
Kenya = 53.8 million
Tanzania = 59.7 million
National #Budget2021:
Kenya = Ksh. 3.63 trillion
Tanzania = Ksh. 1.69 trillion (Tsh. 36.26 trillion).
Tanzania budget is 50% SMALLER than Kenya's.
#BudgetKe2021 #BudgetTZ
#TheStandardCheckpoint
#BudgetTZ:Kutokana na vinywaji vikali kuwa na kiwango kikubwa cha kilevi, napendekeza kuongeza ushuru wa bidhaa kwa asilimia 30 ili kuwa na uwiano wa viwango vya kodi kati ya Vinywajikali na Bia.

#BudgetTZ: Serikali inatarajia kukopa shilingi trilioni 7.34 kutoka soko la ndani na nje kwa masharti ya kibiashara. Kati ya kiasi hicho,shilingi trilioni 4.99 ni mikopo ya ndani ambayo inajumuisha shilingi trilioni 3.15 kwa ajili ya kulipia hatifungani na dhamana za Serikali.

#BudgetTZ: Serikali ya Tanzania inapanga kutumia jumla ya shilingi trilioni 36.33 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo. Kati ya fedha hizo, shilingi trilioni 23.0 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 13.33 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo.

#BudgetTZ: Fedha zilizotengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida zinajumuisha shilingi trilioni 10.66 kwa ajili ya ulipaji wa deni la Serikali, shilingi trilioni 8.15 kwa ajili ya mishahara na shilingi trilioni 4.19 kwa ajili ya matumizi mengineyo.

#BudgetTZ:Jumla ya shilingi trilioni13.33 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya maendeleo,sawa na asilimia 37 ya bajeti yote. Kati ya kiasi hicho,fedha za ndani ni shilingi trilioni 10.37 na fedha za nje shilingi trilioni 2.96.

#BudgetTZ: Fedha zilizotengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida zinajumuisha shilingi trilioni 10.66 kwa ajili ya ulipaji wa deni la Serikali, shilingi trilioni 8.15 kwa ajili ya mishahara na shilingi trilioni 4.19 kwa ajili ya matumizi mengineyo

#BudgetTZ:Kwa upande wa elimu ya juu,zaidi ya wanafunzi 11,000 wenye sifa za kujiunga na vyuo vikuu ambao tayari walishapata udahili katika vyuo mbalimbali walikosa mikopo.

#BudgetTZ:Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye simu janja za mkononi,vishikwambi (Tablets) na modemu ili kuhamasisha matumizi ya huduma za mawasiliano kufikia asilimia 80 ifikapo mwaka 2025 kutoka asilimia 46.

#BudgetTZ: Katika bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022 nchini Tanzania, maeneo yaliyozingatiwa ni pamoja na kuongeza tija ya mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi kwa kuboresha upatikanaji wa mitaji kwa wakulima wadogo na wawekezaji kwa kushirikisha taasisi za kifedha.

#BudgetTZ:Serikali inapendekeza kuanzia mwaka 2021/22, kuanza kulipa posho ya madaraka ya shilingi 100,000 kwa mwezi kwa kila Mtendaji wa Kata kupitia mapato ya ndani ya halmashauri yaliyokuwa yakitumika kulipa madiwani

#BudgetTZ: Katika kipindi cha bajeti cha mwaka 2021 serikali ilipanga kukusanya jumla ya shilingi trilioni 34.88 kutoka katika vyanzo vya ndani na nje, hadi April 2021 trilioni 24.53 zimekusanywa sawa na 86.1 ya lengo la kipindi hicho. - Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba

With the budget season now upon us, our Senior Manager Samwel Ndandala discusses taxation in a digital world. Here is a link to the full article: https://t.co/lpYUvVuyOy
For more insights, register for our webinar here: https://t.co/8YOmNMDQSk #NavigatingNewRealities #BudgetTZ

Just 3 days to go till our 2021 budget event. Don't miss it! To save your seat for the webinar, register here: https://t.co/8YOmNMDQSk #NavigatingNewRealities #BudgetTZ

Last Seen Hashtags on Sotwe
momson()*********** video
Seen from Algeria
anxiouspanda ()() +filter:native_video
Seen from Turkey
ε¦Ή1
Seen from United States
RajEduMinistry
Seen from United States
playofflar
Seen from United States
bathsex
Seen from Turkey
ΰΈΰΈ±ΰΈΰΉΰΈ’ΰΉΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΉΰΈ
Seen from Thailand
LiftAndCarry
ε₯³η¨η©ε
·
pendiktraveο¬
i
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers







