Top Tweets for #COCOExtra
Ukipewa nafasi, usichemshe! π₯ itumie vizuri huenda ukahitajika tena kesho!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Unavyotesa mjini, hakikisha mzazi kijijini hateseki! Kumbuka ulipoanzia. π«΅~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Mwisho wa uongo mwingi ni kujisahau ipo siku utanaswa tu!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Huyo uliyemkataa, endelea kumkataa! Usimkubali atakuonyesha dust na hutaamini!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Wasanii ni watu wa kawaida kama sisi. Hizi aibu ndogondogo, tuwafichie tu!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Msichana, usidhani maisha ya mjini ni mchezo. Usipojua unachotafuta, utatumika vibaya. Akili kichwani!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Kutumika si vibaya lakini je unatumika vizuri au unatumika vibaya?~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Mtu akishachoka na wewe, hata jambo dogo analitumia kama sababu ya kuondoka. ~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Kwa nini mtu asiyekujua anaweza kukusaidia zaidi kuliko mtu wako wa karibu anayekufahamu zaidi?~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Watu single, mbona hatupendani? Tunapenda watu ambao tayari wako kwenye mahusiano!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Nikatae tu, nitaaccept!β¦ lakini kuniweka bro zone no way! Hapo nakataa kabisa!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Hatua ya mwisho ya kukua kwa mwanamume ni anapoanza kuelewa kwanini mzazi wake alifanya vitu flani.~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Kama pesa haitoshi kufanya sherehe, ifanya online tu! Usitutatize!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Mtujuze jamaa zetu mapema! Tuko huku nje kutafuta wachumba. Kidogo tu makosa ifanyike mahali!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Usijichoshe ukisahau kujitunza. Thamini sana afya yako kuliko kazi.~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Sio kwamba anathamini sana privacy yenuβ¦ huenda ukweli ni kwamba βmtu wakoβ ni wa wengi!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Ukipata nafasi ya kusamehe, samehe. Watu huondoka bila taarifa!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Kinachokurudisha nyuma ni kujilinganisha sana na wengine. Acha kuishi maisha ya watu wengine ishi yako! Kila mtu ana wakati wake~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Kuna faida gani kuwa na six packs na mwili uliojengwa vizuri kama mfukoni huna kakitu cha kujivunia?~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Hivi ni kweli kwamba vijana wanapokosa watu wa kuoa/kuolewa wanajitosa mawindoni kwenye dini?~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Last Seen Hashtags on Sotwe
cfnm
monkeyapp
Seen from United States
ΰΈΰΈΰΈ£ΰΈ¨ΰΈ£ΰΈ΅ΰΈΰΈ£ΰΈ£ΰΈ‘ΰΈ£ΰΈ²ΰΈ
Seen from Thailand
kayseribayan
Seen from Turkey
teeNager filter:native_video
Seen from Canada
grandefratello javier..........
Seen from Italy
taciz
Seen from Netherlands
hazbinhotelnsfw
Seen from Australia
nolimits nolimits
Seen from Spain
sexyinmydress
Seen from Pakistan
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
