Top Tweets for #CSAPII
#CSAPII imeweka mkazo katika kuwawezesha Wanawake kiuchumi kupitia ujumuishaji wa kifedha, vikundi vya kuweka na kukopa, mafunzo ya biashara na uongozi pamoja na upatikanaji wa mikopo ili waweze kujikimu na kuongeza kipato. #KilimoHimilivu #Mtama

Akizungumza kwenye hafla ya kuhitimisha Mradi wa #KilimoHimilivu , Bw. Khatib Kazungu amesisitiza kuendeleza mifumo iliyowekwa: huduma za ugani, vikundi vya kuweka na kukopa, uzalishaji bora na masoko. Amesema changamoto za masoko bado zishughulikiwe ili matokeo yadumu.
#CSAPII

Ukuaji wa uchumi na kipato vikawe ni chachu kuhakikisha fursa ya uzalishaji na kuboresha masoko ya Mtama inaendelea hata baada ya Mradi kuhitimisha utekelezaji wake. Mtama, uhakika wa Chakula, kipato na lishe bora. - Dkt Nandonde (OWM)
#KilimoHimilivu | #CSAPII | #Mtama

Bw. Khatib Kazungu katibu tawala Mkoa wa Dodoma anasema Mradi wa #KilimoHimilivu umeboresha uzalishaji wa mazao, matumizi ya teknolojia bora na uelewa wa wakulima kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kupitia mafunzo, wakulima wameongeza uzalishaji na kipato.
#CSAPII

Ukuaji wa uchumi na kipato vikawe ni chachu kuhakikisha fursa ya uzalishaji na kuboresha masoko ya Mtama inaendelea hata baada ya Mradi kuhitimisha utekelezaji wake. Mtama, uhakika wa Chakula, kipato na lishe bora. - Dkt Nandonde (OWM)
#KilimoHimilivu | #CSAPII | #Mtama

Mhe. Simon Mayeka, Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, akitoa salamu kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya zote sita zilizoshiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama katika Mkoa wa Dodoma.
#KilimoHimilivu | #CSAPII

Tangu mwaka 2022, @WFP_Tanzania & @actionaidtz kwa kushirikiana na Serikali, sekta binafsi na kwa ufadhili wa @IrlEmbTanzania imekuwa ikitekeleza #CSAPII kwa lengo la kuibadilisha zao la #Mtama kutoka zao la kujikimu kuwa zao lenye tija na fursa kibiashara. #KilimoHimilivu

"Kupitia mradi huu, wakulima wamewezeshwa kuongeza uzalishaji na tija, kupata taarifa za masoko, kutumia teknolojia na mbinu za kilimo himilivu, pamoja na kuimarisha usalama wa chakula na kipato cha kaya." - Mkurugenzi Bavon Christopher
#KilimoHimilivu | #CSAPII #Mtama

Akizungumza katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi wa #KilimoHimilivu Mkurugenzi Bavon amesema, "mabadiliko yanaonekana wazi kwa wakulima ambao sasa wanatumia ujuzi na mbinu walizojifunza kuboresha uzalishaji, kipato na maisha yao".
#KilimoHimilivu | #CSAPII #Mtama

Bavon Christopher Mkurugenzi wa @ActionaidTz ametoa shukrani kwa @WFP_Tanzania, @IrlEmbTanzania ,Serikali na sekta binafsi kwa ushirikiano na uwekezaji wao katika kuwawezesha wakulima kupitia mradi wa #KilimoHimilivu na kuwapatia Wakulima fursa za biashara.
#CSAPII #Mtama

"Mafunzo ya kilimo, elimu ya fedha na uwezeshaji vimenisaidia kuongeza kipato, kuboresha maisha ya familia yangu na kujenga matumaini mapya kupitia kilimo cha mtama." ~ Elizabeth Yohana, Mkulima na Mnufaika wa Mradi wa Kilimo Himilivu.
#KilimoHimilivu | #CSAPII

Bi. Elizabeth Yohana, mkulima kutoka Kongwa, akieleza namna mafunzo na uwezeshaji kupitia @WFP_Tanzania na @ActionaidTz yalivyobadilisha maisha yake na kuongeza kipato kupitia kilimo cha mtama.
Cc: @IrlEmbTanzania
#KilimoHimilivu | #CSAPII

Bi. Elizabeth Yohana, mkulima kutoka Kongwa, akieleza namna mafunzo na uwezeshaji kupitia @WFP_Tanzania na @ActionaidTz yalivyobadilisha maisha yake na kuongeza kipato kupitia kilimo cha mtama.
Cc: @IrlEmbTanzania
#KilimoHimilivu | #CSAPII

Cosmas Deogratius kutoka ActionAid Tanzania β Mkoa wa Dodoma, akiwasilisha mafanikio na utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama, katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi.
#KilimoHimilivu | #CSAPII

Mgeni Rasmi Khatib Kazungu, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi , akikagua kazi na shughuli zinazofanywa na wakulima na wanufaika wa mradi wa #KilimoHimilivu cha zao la #Mtama.
#CSAPII

Salaam za utambulisho na utangulizi zikitolewa na wawakilishi wa @ActionAidTanzania, @WFP_Tanzania na Ofisi ya Mkoa wa Dodoma katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama (#CSAPII).
Cc: @IrlEmbTanzania

Mgeni Rasmi Khatib Kazungu, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi , akikagua kazi na shughuli zinazofanywa na wakulima na wanufaika wa mradi wa #KilimoHimilivu cha zao la #Mtama.
#CSAPII

Jukwaa la kukabidhi Awamu ya Pili ya Mradi wa Kilimo Kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi (#CSAPII) limewakutanisha pamoja wakulima, wadau wa kilimo cha mtama, Serikali, Asasi za Kiraia pamoja na Balozi, kwa ajili ya kuendeleza juhudi za kuimarisha #KilimoHimilivu

Jukwaa la kukabidhi Awamu ya 2 ya Mradi wa Kilimo Kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi #CSAPII limewakutanisha wakulima, wadau wa kilimo cha #Mtama, Serikali, Asasi za Kiraia na Balozi, kwa ajili ya kuendeleza #KilimoHimilivu na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi

Mradi wa Kilimo Kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi (#CSAPII), unaolenga kuimarisha #KilimoHimilivu cha zao la #Mtama umetekelezwa katika Wilaya za Mpwapwa, Kondoa, Chamwino, Bahi, Kongwa na Dodoma, Mkoa wa Dodoma.

Karibu kwenye Jukwaa la kukabidhi Awamu ya 2 ya Mradi wa kilimo kinachozingatia Mabadiliko ya Tabia nchi. #KilimoHimilivu kwa zao la #Mtama ambao umetekelezwa katika wilaya 6 za mkoa wa Dodoma chini ya @IrlEmbTanzania, @WFP_Tanzania na shirika la @ActionaidTz
#CSAPII

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers





































