Top Tweets for #CSOsDirectorsForum
Vijana wamekuwa wakionekana hawapendi kushiriki chaguzi ni kwa sababu hawana taarifa za kutosha na kutoelewa umuhimu wa chaguzi na nafasi yao katika kuleta maamuzi ~ Meeda kutoka @UNATanzania
#CSOsDirectorsForum
Katika dunia ya utandawazi Kuna wimbi la taarifa nyingi lakini jamii Mara nyingi haipati taarifa sahihi
#CSOsDirectorsForum
Mafanikio makubwa ambayo yameanza kujitokeza baada ya kuunganisha nguvu na kutoa taarifa sahihi za uchagu
📍Kundi la walemavu kushiriki chaguzi za serikali za mitaa kwa kiasi kikubwa
📍Kundi la wanawake kuanza kuleta ushindani
#CSOsDirectorsForum
Vijana wamekuwa wakionekana hawapendi kushiriki chaguzi ni kwa sababu hawana taarifa za kutosha na kutoelewa umuhimu wa chaguzi na nafasi yao katika kuleta maamuzi ~ Meeda kutoka @UNATanzania
#CSOsDirectorsForum
Katika jukwaa hili la leo tutaangazia kwa kina ni Jinsi gani Taasisi za kiraia zitashiriki kwenda kuongeza ushiriki wa wananchi katika uchaguzi mkuu ~ Fransic Kiwanga
#CSOsDirectorsForum
Taasisi ya @FCS imekuwa ikifanya kazi nchini kwa miaka 17 kuelekea 18 ambapo tumekuwa tukiangazia sera, ushirikishwaji na utawala Bora ~ | Fransis kiwangwa

Taasisi ya @TGNPMtandao tumekuwa tukijikita katika kuhamasisha Wanawake kushiriki katika chaguzi, Kugombea na kupiga kura
#CSOsDirectorsForum
Ivi kwanini vijana wengi hawashiriki uchaguzi mkuu imeshuka, unadhani Serikali, Tume ya Uchaguzi na Vyama vya siasa vifanye nini kurudisha hii hamasa ya ushiriki juu kuelekea uchaguzi mkuu?
#CSOsDirectorsForum
Vifaa maalumu kwa makundi maalumu ya walemavu katika uchaguzi mkuu, Tume imezingatia na kupeleka mapendekezo ili yapatikane kwa wakati
~ | Emmanuel Kawishe mkurugenzi huduma sheria NEC
#CSOsDirectorsForum
Maswali @TumeUchaguziTZ
1 kwa nini hamruhusu wananchi kupiga kura popote
2 Kwa nini wafungwa hawashiriki uchaguzi
3 Mwaka 2010 mlipeleka fedha kwa Raisi kama fungu lililobaki kwa nini hizi fedha msingewapa asasi za kiraia kufanya elimu ya mpiga kura @FCSTZ
#CSOsDirectorsForum
@ItsKamala @TumeUchaguziTZ Hatuwezi Kusema Ni Huru Au Si Huru Moja Kwa Moja Sababu Zipo #CSOsDirectorsForum
Kwa watu walemavu wana haki ya kushiriki chaguzi hivyo haipaswi kubaguliwa tuwape haki yako na vifaa vyao ni Lazima viwepo ~ | @HengaAnna mkurugenzi @humanrightstz
#CSOsDirectorsForum
Elimu ya uraia huwa ni endelevu kwa sababu asasi za kiraia zimekuwa zikishirikiana na Mamlaka mbalimbali kuwafikia wananchi na kujifunza Mambo lukuki ~ | @HengaAnna mkurugenzi @humanrightstz
#CSOsDirectorsForum
kuna Swali limeulizwa kwa ndugu Kawishe Kutoka @TumeUchaguziTZ "Je Tume ya Uchaguzi ni Huru"
#CSOsDirectorsForum
AZAKI tumejikita ktk maeneo yafuatayo:
-Kutoa Elimu ya uraia
-Kuomba vibali kushiriki ,kusimamia na kutoa Elimu mpiga kura kwa wananchi
-Kupitia Sheria na taratibu za chaguzi
#CSOsDirectorsForum
Maswali @TumeUchaguziTZ
1 kwa nini hamruhusu wananchi kupiga kura popote
2 Kwa nini wafungwa hawashiriki uchaguzi
3 Mwaka 2010 mlipeleka fedha kwa Raisi kama fungu lililobaki kwa nini hizi fedha msingewapa asasi za kiraia kufanya elimu ya mpiga kura @FCSTZ
#CSOsDirectorsForum
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.1M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers