Top Tweets for #Chalinze
Nimepokea Habari njema toka Halmashauri yetu ya Chalinze kwenda kwetu Wananchi, kwamba kituo chetu cha Afya Msata kimeanza upasuaji Leo th 14/09/2023. #Ilani #Chalinze #KaziInaendelea

#CHALINZE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu akiwahamasisha wafanyabiashara wa eneo la #Mdaula Wilayani Chalinze kuhusu masuala mbalimbali ya kodi wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi #MlangoKwaMlango inayoendelea mkoani #PWANI leo 2 Mei, 2023.

#Chalinze hapa....
Stay connected....

#Chalinze hapa....
Stay connected....

Jane wari utuye mu karere ka #Chalinze , mu ntara ya Pwani, yitabye Imana ubwo ikipe yafanaga ariyo Yanga yarimaze kutsindwa na Simba.
Umwe mubafana wari ukurikira uwo mupira yahise agira ikibazo cy'umutima bizwi nka Presha, ย ahita yikubita hasi yitaba Imana, nyuma yโuko Yanga SC itsinzwe Igitego cya kabiri.

Nimeshiriki futari na Wananchi wenzangu wa Halmashauri ya Chalinze pamoja na viongozi wa Chama na Serikali wa wilaya yetu. Nawashukuru sana Wananchi wenzangu kwa muitikio wenu. Asanteni sana. #RamadhanKareem #Chalinze.

Mkange , Chalinze.
Kuzungumza na Wananchi na kueleza hatua mbalimbali zilizofikiwa na serikali yetu katika kutatua changamoto zinazotokana na shughuli za maendeleo. Ahadi yangu ni kuendelea kuwatumikia na kutatua changamoto zetu.#TukoPamoja #Chalinze #KaziInaendelea

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) @tanescoyetutz kwa mara ya kwanza limeanza kupokea moja ya mashine umba (Transforma) kubwa sita yenye uwezo wa kufua megavoti 250 katika kituo cha kupokea na kupoza umeme mkubwa cha #Chalinze ambapo kati ya mashine umba hizo sita.

Innallillah Wainnaillah Rajuun
Ni Majonzi makubwa kumpoteza Baba,Kaka, Mjomba, na rafiki kwa wengi na kwa Wananchi, Mwenyekiti wa Tawi la @yangasc1935 โUTAMU HAUNA SIRI-Chalinzeโ. Mpiganaji Mbaraka Tamimu umetanguliaโฆAllah akuhifadhi na akujalie Jannah Firdaus. #Yanga #Chalinze

Tukiachilia mbali uwezo mkubwa wa kusimamia ajenda za kitaifa na zenye Maslahi ya wananchi Ndugu yetu Mhe. @ridhiwankikwete ana busara na hekima nyingi sana katika utekelezaji wa majukumu na maisha yake halisi ya kila siku.
Neno moja kwake Tafadhari ๐ค๏ธโ
#Chalinze

TEHAMA Academy tunapatikana ๐๐ต๐ฎ๐น๐ถ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐๐ฎ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ก๐ฒ๐ฟ๐ผ.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa simu: ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Karibuni.
#ictforall #TehamaAcademy #computertraining #chalinze
Tunapatikana Chalinze, Pwani. Mtaa wa Nero NMC, Barabara ya Chalinze Sekondari. #ICT4ALL #KidsInTech #Chalinze
#MATUKIOYetu!
https://t.co/IF71xdunxx
Daraja Jipya la WAMI lenye Urefu wa Mita 513.5
#AlipoMamaVijanTupo! #Chalinze Oyeeeeee!!!!!
Huu ni upendo wake na mapenzi yetu kwake ni matokeo ya kuifanya leo kuwa Sikukuu kubwaaaa karibu kwenye #72zaJK.
Hapa ni #Chalinze
#WekaManeno
Tumeshiriki Baraza la Madiwani la Mwisho wa Mwaka. Nimetumia nafasi hiyo kuwaasa madiwani wenzangu kuangalia nyuma kwa mafunzo na mbele kwa matumaini makubwa. Chalinze yetu sote na tusonge mbele. #Chalinze #MaendeleoKwanza #BarazaMadiwani

Nimetembelea Mzunguko wa makutano ya Barabara Bwilingu, Chalinze kuona kazi inayoendelea kupendezesha sura ya Halmashauri yetu. Yako tumeshauriana ili kuifanya kazi iliyokwisha fanywa kuwa Bora zaidi. #Chalinze #RoundAbout

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers



































