Top Tweets for #Chinbees
Wasanii @diamondplatnumz @OfficialShetta #ManFongo #Chinbees Bonge La Nyau @moni_centrozone @FidQ @Madeeseneda @JohMakini Producers Abbah Process @S2KizzyOfficial na @MesenSelekta26 msibani kwa Director Khalfan Khalmandro.
#RIPKhalfanKhalmandro
King of Trap Music Chin Bees amenyoosha maelezo kuhusu mkwanja anaotaka kwa msanii anayetaka kufanya naye Collabo.
#PlanetBongo #OFFAIR #ChinBees
Sikia michano ya Chin Bees akionesha uwezo wake wa kuchana kwenye saa ya ngumu nyeusi sayarini #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio.
#PlanetBongo #TrapMusic #ChinBees
Rapa Chin Bess amewachama wasanii wanao-diss muziki wa Trap aksiema wengi wao hawawezi kuufanya muziki huo wa Trap kwa sababu sio muziki rahisi kama wanavyoongelea.
#PlanetBongo #TrapMusice #ChinBees
Chin Bees β #Pekee Chin Bees β Pekee MP3 DOWNLOAD
Listen to Pekee by Chin Bees below;
AUDIO Chin Bees β Pekee MP3 DOWNLOAD
DOWNLOAD AUDIO
RELATED POST:
Harmonize Ft Phyno https://t.co/70QzRsfbPF #ChinBees #Nyimbompya
#BURUDANI Unaikumbuka hii kutoka kwa King of Trap Bongo #ChinBees amepita nayo live hapa #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio
Michano hiyo inapatikana kwenye ngoma yake gani?
#PlanetBongo ipo live muda huu mpaka saa 10:00 jioni.
Leo litapigwa bonge la show kwenye Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive vibe likiongozwa na mwamba @FidQ #ChinBees na #Benson Hauzimi
Usipitwe na hii leo kuanzia saa 3:00 Usiku, #EastAfricaTV pia ikisikika kupitia @earadiofm
#NowPlaying Moja ya wasanii wa mwanzo mwanzo kusainiwa na Wanene #ChinBees na alishawahi kupita The Industry ya @Nahreel na sasa hivi anajisimamia mwenyewe katika kazi zake.
Ni ngoma gani ya Chin Bees hata ingetoka leo bado ingetamba?
#ChinBees #Pepeta
#NowPlaying ''Sweet Mangi'' ya DC @nikkwapili akiwa na #ChinBees muda huu kwenye #MamaMia
Nikki humu alikuwa mgumu kutoa hela anasema
''Sitakupa Indian hair, nitakupa mtaji wa kuwauzia Brazillian
hair''
Je mahusiano yako yakifia hatua gani unaweza kutuma 500k?
#BURUDANI Mwanamziki #ChinBees anakwabia muziki wa sasa hivi ni takataka kwa sababu wasanii wanaimbaimba tu bila ubunifu, bila kujua watu wanataka kitu gani.
Je ni kweli wasanii wamekosa ubunifu?
Hii ni #eNewz ya #EastAfricaTV kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa saa 12:00 jioni.
Kwenye #eNewz leo Chin bees anafunguka kwamba muziki wanaofanya kizazi kipya ni takataka hakuna jipya huku Rasco Sembo amjibu kwa kusema muda wake umeshaisha kwenye game.
Usikose kuitazama show leo kuanzia saa 12:00 Jioni #EastAfricaTV
#ChinBees #RascoSembo
#BURUDANI Mkali wa mziki wa Trap #ChinBees ameweka wazi kilichosababisha kuondoka kwenye Lebo ya Wanene Studios.
#PlanetBongo #EastAfricaRadio
Ujio wa kishindo wa Chin Bees kwenye #PlanetBongo leo, kuna mengi ya kuyaeleza lakini kubwa zaidi ni ngoma yake ya #Ball
Ungana na show muda huu mpaka saa 10:00 Jiioni, #EastAfricaRadio
#ChinBees #BongoFleva

#NowPlaying Rapa #ChinBees anakwambia #Pepeta unaitazama muda huu ting'ani #EastAfricaTV
Tupate kupitia king'amuzi cha DStv - Chaneli 384 | Azam - Chaneli 409 | Digitek - Chaneli 1102 | StarTimes - Chaneli 108 | Zuku - Chaneli 066
#TogetherTunawakilisha
Musa Ramadhani.
#ChinBees is a Tanzanian hiphop artist and song writer whose genre specializes on the trap sol. In march of 2018 he released his first album #Ladha that involved songs like leo, killer, nitulize, my baby, cynthia, msafiri and the famous #checkit.
@ChinBees1

Last Seen Hashtags on Sotwe
anxiouspandaa
Seen from Brazil
μ λΆλ
Seen from Japan
anxiouspanda()******** + filter:native_video
Seen from Switzerland
smno()**************filter:native_video
Seen from United States
konyapasif
Seen from Turkey
Ψ³ΩΩΩΨ³_ΨΉΨ±ΩΩΩΨ¨Ω
gay afghan
Seen from Norway
dhilo somali
Seen from United States
bop
Seen from United States
AIζδΊΊηε§
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers









